Loading...
title : SERIKALI YAJITOSA TAIFA STARS
link : SERIKALI YAJITOSA TAIFA STARS
SERIKALI YAJITOSA TAIFA STARS
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe imeahidi msaada wowote kwa Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike kuhakikisha timu hiyo inafuzu Afcon.

Mwakyembe amesema kuwa; “Nimefurahishwa sana na matokeo haya , vijana wamenikuna uwezo waliouonyesha ni mzuri, sisi kama serikali tutakuwa tayari kumsapoti mwalimu kwa chochote anachokihitaji ili kuweza kufanikisha kucheza Afcon.”
“Tumefurahishwa lakini tusiwe na miluzi mingi, masuala ya kiufundi tunamuachia mwalimu aweze kufanikisha malengo.
“Pia nimefurahishwa na muitikio wa mashabiki uwanjani kushangilia, huu ndio uzalendo unaotakiwa, tutumie njia hii kuwamaliza Uganda wakija hapa nyumbani, nawapongeza sana,” alisema Mwakyembe akiizungumzia Stars ambayo ikishinda mechi ijayo dhidi ya Lesotho inafuzu kama Uganda akimpiga Cape Verde.
Hivyo makala SERIKALI YAJITOSA TAIFA STARS
yaani makala yote SERIKALI YAJITOSA TAIFA STARS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAJITOSA TAIFA STARS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/serikali-yajitosa-taifa-stars.html
0 Response to "SERIKALI YAJITOSA TAIFA STARS"
Post a Comment