Loading...

TAASISI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO JIJINI DAR

Loading...
TAASISI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAASISI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAASISI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO JIJINI DAR
link : TAASISI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO JIJINI DAR

soma pia


TAASISI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO JIJINI DAR

Taasisi ya isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na maswala ya Mazingira pamoja na Utu (HDIECA) , iliandaa maonesho maalum ambayo yaliwakutanisha wajasiliamali mbalimbali ambao wanafanya shughuli zao kwa kutumia mikono yao kwa lengo la kurudisha shukurani zao kwa  jamii kutokana na wananchi kupokea na kushirikiana nao vyema katika kazi zao mbalimbali wanazozifanya kila siku.

Maonesho hayo yalifanyika katika viwanja vya Azura Kawe Jijini Dar es Salaam na hakukuwa na kiingilio chochote kwa wananchi na wajasiliamali hawakulipia kitu ilikuwa ni Bure kabisa.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wajasiliamali wengi waliishukuru taasisi hivyo kwa kuwapa fursa hiyo hata ya kuonesha kazi zao na kufahamiana na watumbalimbali na pia kuongeza wigo wa kibiashara kwa kupata wateja wapya.
 Katika maonesho hayo kulikuwa na wajasiliamali wanaotengeneza vitu mbalimbali kwa mikono yao ambapo pamoja na yote waliomba ikiwezekana watengewe sehemu ambayo watakuwa wanapeleka bidhaa zao na kuziuza hata mara moja kwa mwezi.
Wananchi wakiendelea kutazama Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na watanzania .
 Wajasiliamali mbalimbali pamoja na waandaaji wa maonesho hayo wakiwa katika picha ya pamoja
 Moja ya Banda la mjasiliamali anayetengeneza Batiki
  Moja ya Banda la mjasiliamali anayetumia chupa chakavu zilizotupwa anaokota na kuziongezea thamani kwa kuviwekea marembo kwa kutumia nyuzi vitambaa na nakshi nakshi zengine
  Moja ya Banda la mjasiliamali anayetengeneza bidhaa zao kwa kutumia mishumaa na maua ya asili

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>


Hivyo makala TAASISI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO JIJINI DAR

yaani makala yote TAASISI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAASISI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/taasisi-ya-hdieca-yafanya-maonesho-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAASISI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...