Loading...

TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE 2-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE 2-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE 2-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE 2-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
link : TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE 2-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE 2-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mchezo wa kufuzu Mataifa Afrika (AFCON) 2019 nchini Cameroon baina  ya Tmu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' na Cape Verde  umemalizika katika  Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwa wenyeji kutoka kidedea kwa mabao 2-0.
Taifa Stars wameshinda magoli mawili yaliyofungwa na mshambuliaji wa Difaa El Jadida ya Morocco Saimon Msuva katika dakika ya 29 akipokea pasi ya Mshambuliaji wa GRC Genk Mbwana Samatta. Mpaka Mapumziko Taifa Stars wanatoka kifua mbele kwa goli 1-0.

Katika kipindi cha Pili, Samatta aliipatia Taifa Stars goli la pili akimalizia pasi ya Mudathiri Yahya, akifuta lawama baada ya kukosa penati katika kipindi cha kwanza.

Taifa Stars walifanya mabadiliko ya kumtoa Abdi Banda na kuingia John Bocco, Mudathir nafasi yake ikichukuliwa na Feisal Toto.
















Hivyo makala TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE 2-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE 2-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE 2-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/taifa-stars-yaichapa-cape-verde-2-0.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE 2-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...