Loading...

TAKUKURU MKOANI ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 11

Loading...
TAKUKURU MKOANI ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 11 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAKUKURU MKOANI ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 11, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAKUKURU MKOANI ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 11
link : TAKUKURU MKOANI ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 11

soma pia


TAKUKURU MKOANI ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 11


 Na. Vero Ignatus, Arusha

Imeelezwa kuwa Taasisi ya kupambana na Rushwa mkoa wa Arusha imepokea jumla ya malalamiko 108 kwa njia mbalimbali ikiwa ni jitihada za kupambana na rushwa mkoani hapo.

Akitoa ripoti ya miezi mitatu ya kiutendaji Naibu mkuu wa Takukuru mkoa wa Arusha Frida Wikesi amesema taarifa hizo zimehusu halmashauri mbalimbali katika mkoa, idara ya ardhi, Nida, afya, kilimo, elimu, serikali za vijiji na mahakama

Amesema jumla ya majalada 23 ya uchunguzi yalifunguliwa na yanaendelea kuchunguzwa ambapo chunguzi hizo zipo katika hatua mbalimbali, haswa zilizo katika muelekeo wa makosa ya rushwa. Aidha amesema sheria ya kupambana na rushwa namba 11 ya mwaka 2007 inashauri, ushauri yakinifu kutolewa kwa watoa taarifa kwa malalamiko yanayoonekana kutokuangukia kwenye sheria hiyo.

'' Malalamiko mengi yanayowasilishwa yanahusiana na rushwa, aidha kwa kipindi tajwa jumla ya makosa mapya mawili (02)yamefikishwa mahakamani '' alisema.Hata hivyo amesema kuwa ofisi ya takukuru mkoa wa Arusha wamefanya dhibiti moja la rushwa, na kuendesha zoezi la ufuatiliaji wa kuziba mianya ya rushwa.

'' Hadi kufikia mwezi septemba 2018 jumla ya mashauri 18 yaliendelea kusikilizwa mahakamani ambayo yalikuwa katika hatua mbalimbali za mahakama"alisema Wikesi.Katika kipindi tajwa TAKUKURU iliweza kuokoa jumla ya fedha kiasi cha 11,345,000 ambazo zililipwa kwa watumishi waliokua wakishughulikia maonyesho ya 88 kanda ya kaskazini mwaka 2017(10,055,00) fedha zilizokuwa za ujenzi wa mahabara sekondari ya Ilkiding'a Arumeru sh 1,290,000 ambazo zilirejeshwa serikalini. 



Hivyo makala TAKUKURU MKOANI ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 11

yaani makala yote TAKUKURU MKOANI ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 11 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAKUKURU MKOANI ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 11 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/takukuru-mkoani-arusha-yaokoa-zaidi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAKUKURU MKOANI ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 11"

Post a Comment

Loading...