Loading...

TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI

Loading...
TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI
link : TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI

soma pia


TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI

Mwenyekiti wa jukwaa la kuwezesha mwanamke wilaya ya ubungo Hidaya Njaidi akizungumza jijini Dar es Salaam leo na MICHUZI BLOG wakati akihamasisha wanawake na wananchi kwa ujumla kwenda kwenye tamasha la wajasiliamali litakalofanyika Oktoba 13 mwaka huu kinondoni jijini Dar es Salaam.





CHAMA cha wajasiliamali Tanzania kinatarajia kufanya tamasha kubwa la wajasiliamali litakalofanyika Oktoba 13  mwaka huu kinondoni jijini Dar es Salaam.

Akizungumza wakati wa kutambulisha tamasha hilo Mwenyekiti wa chama cha malkia wa nguvu, Grace Mpanduka amesema kuwa tamasha hili litawasaidia wajasiliamali kuonyesha bidhaa  zao za mikono.

Pia amesema kuwa katika tamasha hilo kutakuwa na wajasiliamali mbalimbali watakao toa ushuhuda kuhusiana na ujasiliamali pia kutakuwa live bendi kutoka kwa msanii wa taarabu Isha Mashauzi.

Kiingilio cha tamasha hilo kwa viti maalumu VIP ni shilingi 40,000/= na viti vya kawaida ni shilingi 20,000/=

Nae Mwenyekiti wa jukwaa la kuwezesha mwanamke wilaya ya ubungo Hidaya Njaidi amewaomba akinamama, akinababa pamoja na wanafunzi wa shule zote jijini Dar es Salaam kufika kwaajili ya kupata kile wajasiliamali wa jiji la Dar es Salaam walichowaandalia.
Mawasiliano kwaajili ya kujipatia kadi za kiingilio katika tamasha hilo  wasiliana na Mwenyekiti wa chama cha malkia wa nguvu, Grace Mpanduka namba o716589737 tigo au 0687935927 airtel.



Mwenyekiti wa chama cha malkia wa nguvu, Grace Mpanduka akizungumza na MICHUZI BLOG wakati akitambulisha tamasha la wajasiliamali litakalofanyika Kinondoni jijini Dar es Salaam Oktoba 13 mwaka huu.
 Mwenyekiti wa chama cha malkia wa nguvu, Grace Mpanduka akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa jukwaa la kuwezesha mwanamke wilaya ya ubungo Hidaya Njaidi jijini Dar es Salaam leo wakati walipotambulisha tamasha la wajasiliamali litakalofanyika Oktoba 13 Kinondoni jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI

yaani makala yote TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/tamasha-la-wajasiliamali-kufanyika.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI"

Post a Comment

Loading...