Loading...
title : TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA TANZANIA PRISON NA AFRICAN LYON...
link : TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA TANZANIA PRISON NA AFRICAN LYON...
TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA TANZANIA PRISON NA AFRICAN LYON...
Mshambuliaji wa Prisons Jeremia Juma akiwa anaambaambaa na mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya African Lyon uliomalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu ya 0-0 kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Mtanange Ukiendelea
Beki wa Tanzania Prisons Leon Mutalemwa (23) akiwania mpira na mchezaji wa African Lyon Ismail Gambo (17) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya African Lyon uliomalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu ya 0-0 kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Mchezaji wa African Lyon Adam Omary (7) akiwania mpira na beki wa Tanzania Prisons Benjamin Asukile (6) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliomalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu ya 0-0 kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.PICHA ZOTE NA MR.PENGO MICHUZI MEDIA.
Hivyo makala TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA TANZANIA PRISON NA AFRICAN LYON...
yaani makala yote TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA TANZANIA PRISON NA AFRICAN LYON... Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA TANZANIA PRISON NA AFRICAN LYON... mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/taswirazz-mbalimbali-za-mtanange-wa.html
0 Response to "TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA TANZANIA PRISON NA AFRICAN LYON..."
Post a Comment