Loading...

TATIZO LA MAJI CHALINZE KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2019-SAMIA

Loading...
TATIZO LA MAJI CHALINZE KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2019-SAMIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TATIZO LA MAJI CHALINZE KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2019-SAMIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TATIZO LA MAJI CHALINZE KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2019-SAMIA
link : TATIZO LA MAJI CHALINZE KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2019-SAMIA

soma pia


TATIZO LA MAJI CHALINZE KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2019-SAMIA

NA Mwamvua Mwinyi, Chalinze
SERIKALI imewahakikishia wananchi wa jimbo la Chalinze ,mkoani Pwani kuwa wataondokana na tatizo la maji na kubaki historia ifikapo mwezi april mwakani. 

Tatizo la maji limekuwa likiwapa shida wananchi hao kwa miaka mingi hali iliyokuwa ikiondoa imani na serikali yao. 

Akizungumza na wakazi wa Chalinze, makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu alisema ,shida ya maji Chalinze imekuwa kubwa ambapo wamekuwa wakikosa huduma hiyo ya maji safi na salama ya uhakika. 

"Faraja inakuja, naimani ifikapo 2019 kero hii itakuwa historia, "alisisitiza. 

Pamoja na hayo, Samia amewataka akinamama wajawazito wakiwa tayari kujifungua wakimbilie hospital ama vituo vya afya badala ya kuendekeza masuala ya kishirikina suala linalosababisha vifo kwa mama na mtoto. 

Aliwaomba ,watumie vituo vya afya kunusuru vifo vya akinamama na watoto. 

Akizungumzia tatizo la mgogoro wa wakulima na wafugaji aliwaasa waheshimiane. 

Akitolea ufafanuzi juu ya kudhibiti tatizo hilo, naibu waziri wa mifugo na uvuvi, Abdallah Ulega alisema, NARCO inaanzisha maeneo ya wafugaji na imetenga heka 100,010 ambapo ng'ombe watahamishia malisho ndani ya Narco.

"Miezi mitatu ng'ombe mmoja atalipiwa sh. 10,000 na ukiisha muda huo unaanza mkataba upya"alielezea.

Ulega alifafanua, njia hiyo itapunguza ongezeko la mifugo hiyo.

Mkurugenzi mkuu wa DAWASA Cyprian Luhemeja alieleza wanaendelea kufanyia kazi miradi mbalimbali na wanatarajia italeta jibu ndani ya jamii na kuondokana na kero hiyo. 

Awali mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete anasema ,uchelewaji wa hatua za kupata huduma ya maji inaleta sura ya kufanya siasa kwa wananchi ambao bado wanaiamini serikali yao. 

Ridhiwani aliiomba, serikali kuendelea kusukuma na kuusimamia mradi wa CHALIWASA ili uanze kazi haraka na kuondoa kero hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiteta jambo na ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja (kushoto) na Naibu Waziri wa Mifugo na uvuvi Abdallah Ulega katika ziara ya kukagua shughuli za kimaendeleo Bagamoyo na Chalinze. 


Hivyo makala TATIZO LA MAJI CHALINZE KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2019-SAMIA

yaani makala yote TATIZO LA MAJI CHALINZE KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2019-SAMIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TATIZO LA MAJI CHALINZE KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2019-SAMIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/tatizo-la-maji-chalinze-kubaki-historia_26.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TATIZO LA MAJI CHALINZE KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2019-SAMIA"

Post a Comment

Loading...