Loading...
title : TIMU YA WAENDESHA BAISKELI YA VODACOM TANZANIA PLC YASHIRIKI MASHINDANO YA ROTARY DAR MARATHOY
link : TIMU YA WAENDESHA BAISKELI YA VODACOM TANZANIA PLC YASHIRIKI MASHINDANO YA ROTARY DAR MARATHOY
TIMU YA WAENDESHA BAISKELI YA VODACOM TANZANIA PLC YASHIRIKI MASHINDANO YA ROTARY DAR MARATHOY
Timu ya waendesha baiskeli ya Vodacom Tanzania PLC, wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza mbio za Kilomita 21.1 za Rotary Dar Marathon zilizoyofanyika katika viwanja vya Green Oysterbay jijini Dar es Salaam, ambapo sehemu ya fedha zitakazopatikana zitasaidia matibabu ya wagonjwa katika Hospitali ya CCBRT.


Mwendesha baiskeli wa timu ya wanawake wa Vodacom Tanzania PLC, Gloria Mtui akishirikiki katika mbio za kilomita 21.1 za Rotary Dar Marathony zilizoyofanyika katika viwanja vya Green Oysterbay jijini Dar es Salaam, ambapo sehemu ya fedha zitakazopatikana zitasaidia matibabu ya wagonjwa katika Hospitali ya CCBRT.
Timu ya Wanawake waendesha baiskeli wa Vodacom Tanzania PLC, wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza mbio za Kilomita 21.1 za Rotary Dar Marathon zilizoyofanyika katika viwanja vya Green Oysterbay jijini Dar es Salaam, ambapo sehemu ya fedha zitakazopatikana zitasaidia matibabu ya wagonjwa katika Hospitali ya CCBRT.
Hivyo makala TIMU YA WAENDESHA BAISKELI YA VODACOM TANZANIA PLC YASHIRIKI MASHINDANO YA ROTARY DAR MARATHOY
yaani makala yote TIMU YA WAENDESHA BAISKELI YA VODACOM TANZANIA PLC YASHIRIKI MASHINDANO YA ROTARY DAR MARATHOY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TIMU YA WAENDESHA BAISKELI YA VODACOM TANZANIA PLC YASHIRIKI MASHINDANO YA ROTARY DAR MARATHOY mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/timu-ya-waendesha-baiskeli-ya-vodacom.html
0 Response to "TIMU YA WAENDESHA BAISKELI YA VODACOM TANZANIA PLC YASHIRIKI MASHINDANO YA ROTARY DAR MARATHOY"
Post a Comment