Loading...
title : UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI-CHAMANANGWE KASKAZINI PEMBA
link : UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI-CHAMANANGWE KASKAZINI PEMBA
UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI-CHAMANANGWE KASKAZINI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba (kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Rashid Ali Juma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akimkabidhi zana za Kilimo kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakulima Bw.Hamad Othman Sheik wa Koowe katika sherehe za maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akivuna mahindi katika shamba la mfano katika sherehe za maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto)akiwa na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Rashid Ali Juma (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiangalia Viazi vitamu wakati alipotembelea aina ya Vilimo mbali mbali na Ufugaji katika maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba. Picha na Ikulu
Hivyo makala UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI-CHAMANANGWE KASKAZINI PEMBA
yaani makala yote UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI-CHAMANANGWE KASKAZINI PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI-CHAMANANGWE KASKAZINI PEMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/uzinduzi-wa-maonesho-ya-siku-ya-chakula_11.html
0 Response to "UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI-CHAMANANGWE KASKAZINI PEMBA"
Post a Comment