Loading...
title : Uzinduzi wa Tovuti ya maktaba kisiwani Pemba
link : Uzinduzi wa Tovuti ya maktaba kisiwani Pemba
Uzinduzi wa Tovuti ya maktaba kisiwani Pemba
Khamis Juma Khamis akizindua tovuti ya maktaba www.zls.go.tz, wakati wa kongamano la uzinduzi huo, kwa lengo la kuwafanya watumiaji wa huduma za maktaba kuweza kutafuta vitu mbali mbali kupitia mtandao huo(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Khamis Juma Khamisi akiwaonyesha washiriki wa kongamano na uzinduzi wa Tovuti ya maktaba, jinsi mtandao wa maktaba unavyoweza kufanya kazi zake kwa kupata vitu mbali mbali vya kujisomea(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya elimu na mafunzo ya amali Pemba Mohammed Nassor Salim, akizungumza katika uzinduzi wa tovuti ya maktaba na kongamano lake lililofanyika katika ukumbi wa maktaba kuu ya Pemba(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Uzinduzi wa Tovuti ya maktaba kisiwani Pemba
yaani makala yote Uzinduzi wa Tovuti ya maktaba kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uzinduzi wa Tovuti ya maktaba kisiwani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/uzinduzi-wa-tovuti-ya-maktaba-kisiwani.html
0 Response to "Uzinduzi wa Tovuti ya maktaba kisiwani Pemba"
Post a Comment