Loading...

Vituo vya Luninga vya ITV, STAR TV na EATV kuondolewa kwenye King’amuzi cha StarTimes

Loading...
Vituo vya Luninga vya ITV, STAR TV na EATV kuondolewa kwenye King’amuzi cha StarTimes - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vituo vya Luninga vya ITV, STAR TV na EATV kuondolewa kwenye King’amuzi cha StarTimes, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vituo vya Luninga vya ITV, STAR TV na EATV kuondolewa kwenye King’amuzi cha StarTimes
link : Vituo vya Luninga vya ITV, STAR TV na EATV kuondolewa kwenye King’amuzi cha StarTimes

soma pia


Vituo vya Luninga vya ITV, STAR TV na EATV kuondolewa kwenye King’amuzi cha StarTimes

Kampuni ya Star Media (T) Limited (MUX) ambayo ina jukumu la kisheria la kurusha matangazo ya televisheni zenye leseni ya kurusha matangazo bure nchini, chini ya Sheria, na vile vile Chaneli hizo zenye leseni za kurusha maudhui yao (CSP0 zina wajibu KISHERIA wa kusaini mikataba ya kurushwa na MUX yaani (SLA) ili kuweza kurushwa katika ving’amuzi vyao katika mfumo wa (FTA au wa kulipia kutokana na aina ya leseni) yaani ili watumiaji waweze kupokea matangazo yao kupitia ving’amuzi.

Kutokana na hilo, StarTimes imekua ikifanya juhudi mbali mbali kuhakikisha kwamba inaingia mikataba na chaneli hizo ili ziweze kurushwa kwa mujbu wa sheria, la sivyo inakua kinyume cha sheria kurusha chaneli bila kuwa na makubaliano (SLA) na chaneli iliyoko kwenye king’amuzi.

“Hivyo basi, ni kwa muda mrefu sasa tumekua tukirusha baadhi ya chaneli bila kuwa na makubaliano hayo hivyo tumefanya  juhudi za makusudi kuhakikisha tunakubaliana  na kuingia mikataba na chaneli hizo kwa mujibu wa Sheria za Nchi. 

Kwa juhudi hizo kwa ushirikiano na mamlaka husika, tumefanikiwa kuingia mikataba na baadhi chaneli  Chaneli ila kwa baadhi ya chaneli  imeonakena kuwa ngumu hata baada ya Mamlaka husika kuingilia kati, sababu kuu ikiwa ni maslahi ya kibiashara.

Hivyo basi kutokana na kushindikana kufikia muafaka wa makubaliano hayo, Star Media tumefikia uamuzi wa kuondoa chaneli  za ITV, STAR TV na EATV kutokana na sababu ya kutokuwa na Mikataba (SLA) kwa kuwa ni kinyume na Sheria kubeba chaneli hizo bila kuwa na mikataba au makubaliano.” Bw Wang Xiaobo, CEO StarTimes.

“Hivyo basi tunapenda kutoa taarifa kwa wateja wetu na umma kwa ujumla kwamba, kutokana na sababu tajwa tutasitisha matangazo ya chaneli tajwa hadi pale tutakapokuwa na makubaliano rasmi kwa mujibu wa sheria. 

Hivyo basi chaneli hizo zitaondolewa mara moja kutoka kwenye ving’amuzi vyetu.” Aliongeza Bw Wang.



Hivyo makala Vituo vya Luninga vya ITV, STAR TV na EATV kuondolewa kwenye King’amuzi cha StarTimes

yaani makala yote Vituo vya Luninga vya ITV, STAR TV na EATV kuondolewa kwenye King’amuzi cha StarTimes Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vituo vya Luninga vya ITV, STAR TV na EATV kuondolewa kwenye King’amuzi cha StarTimes mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/vituo-vya-luninga-vya-itv-star-tv-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Vituo vya Luninga vya ITV, STAR TV na EATV kuondolewa kwenye King’amuzi cha StarTimes"

Post a Comment

Loading...