Loading...

WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI

Loading...
WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI
link : WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI

soma pia


WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

Wachimbaji wa visima wameaswa kufuata sharia ,kanuni pamoja na taratibu ziliziowekwa na bodi ya Bonde la Wami/Ruvu ili kulinda vyanzo vya maji katika kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama.

Hayo ameyasema Katibu Tawala Msaidizi wa Huduma za maji Mkoa wa Dar es Salaam , Elizabeth Kingu wakati akizungumza na wadau wa uchimbaji wa Visima uliondaliwa na Bodi ya Bonde la Wami/ Ruvu uuliofanyika jijini Dar es Salaam.

Kingu amesema kuwa sharia zilizowekwa lazima zifuatwe kwa wachimbaji kuhakikisha wanakuwa na vibali kutoka katika bonde ambao ndio wasimamizi wa vyanzo vya maji.

Amesema kuwa vyanzo vya maji vinahitaji kudhibitiwa kw kuhakikisha kila mtu anafuata sheria ya kufanya kazi ikiwa ni lengo moja ya kutoa huduma kwa wananchi.

Nae Afisa wa Maji wa Bonde la Wami/ Ruvu Mhandisi Simon Ngonyani amesema kuwa kumekuwa na uchimabji holela wa visima huku wengine wakiwa hawana hata leseni kutoka bonde. Amesema kuwa baada ya kikao hicho watafanya operesheni ya kuangalia visima hivyo kwa wenye visima na vibali ya uhalali pamoja Ankara zao kama wanalipa.
Katibu Tawala Msaidizi wa Huduma za maji Mkoa wa Dar es Salaam Elizabeth Kingu akizungumza wakati akifungua mkutano wa wachimbaji visima ulioondaliwa na Bonde la Wami/Ruvu uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali za Maji, Utafiti na Tathimini wa Wizara ya Maji, Hosea Sanga akizungumza kuhusiana wizara ya maji ilivyotoa mamlaka ya katika bonde katika usimamizi wa vyanzo vya maji.
Afisa wa Maji wa Bonde la Wami/Ruvu akitoa mada kwa wachimabji wa visima kuhusiana na sheria za uchimbaji visima hivyo pamoja na mamlaka ya Bonde katika utoaji wa vibali vya uchimbaji  katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya wadau wa uchimbaji visima wakiwa katika mkutano huo leo jijini Dar es Salaam. 


Hivyo makala WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI

yaani makala yote WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/wachimbaji-wa-visima-waaswa-kufuta.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WACHIMBAJI WA VISIMA WAASWA KUFUTA SHERIA ZA UCHIMBAJI"

Post a Comment

Loading...