Loading...

Wachimbaji Wadogowadogo Watakiwa Kuzingatia Taratibu Upatikanaji wa Leseni

Loading...
Wachimbaji Wadogowadogo Watakiwa Kuzingatia Taratibu Upatikanaji wa Leseni - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wachimbaji Wadogowadogo Watakiwa Kuzingatia Taratibu Upatikanaji wa Leseni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wachimbaji Wadogowadogo Watakiwa Kuzingatia Taratibu Upatikanaji wa Leseni
link : Wachimbaji Wadogowadogo Watakiwa Kuzingatia Taratibu Upatikanaji wa Leseni

soma pia


Wachimbaji Wadogowadogo Watakiwa Kuzingatia Taratibu Upatikanaji wa Leseni

  Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akizungumza na mamia ya wachimbaji wadogowadogo wa madini katika mgodi wa madini ya Rubi uliopo katika kijiji cha Kitwai A wilayani Simanjiro mkoani Manyara leo.
 Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Zephania Chaula akizungumza wakati wa mkutano baina ya Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko na Wachimbaji wadogowadogo wa madini katika mgodi wa madini ya Rubi uliopo katika kijiji cha Kitwai A wilayani Simanjiro mkoani Manyara leo.
  Mhandisi Edward Joseph toka Tume ya Madini akijitambulisha  wakati wa mkutano baina ya Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko na Wachimbaji wadogowadogo wa madini katika mgodi wa madini ya Rubi uliopo katika kijiji cha Kitwai A wilayani Simanjiro mkoani Manyara leo.

 Baadhi ya wananchi pamoja na wachimbaji wadogowadogo wakifuatilia mkutano baina yao na Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko (hayupo pichani) kilichofanyika jana katika eneo la machimbo ya madini aina ya Rubi katika eneo la Kitwai A wilayani Simanjiro mkoani Manyara leo.
 Mmoja ya wakazi wa kijiji cha Kitwai A, Alaiharwa Lenae akiwasilisha hoja kwa niaba ya jamii ya wafugaji mbele ya Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko (hayupo pichani) katika mkutano wa hadhara kufuatia ziara ya Naibu Waziri huyo kutembelea eneo la mgodi wa uchimbaji madini ya Rubi uliopo katika kijiji hicho wilayani Simanjiro mkoani Manyara jana.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Wachimbaji Wadogowadogo Watakiwa Kuzingatia Taratibu Upatikanaji wa Leseni

yaani makala yote Wachimbaji Wadogowadogo Watakiwa Kuzingatia Taratibu Upatikanaji wa Leseni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wachimbaji Wadogowadogo Watakiwa Kuzingatia Taratibu Upatikanaji wa Leseni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/wachimbaji-wadogowadogo-watakiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wachimbaji Wadogowadogo Watakiwa Kuzingatia Taratibu Upatikanaji wa Leseni"

Post a Comment

Loading...