Loading...

Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).

Loading...
Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).
link : Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).

soma pia


Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).

Na Genofeva Matemu - JKCI

Jumla ya wagonjwa 36 wamefanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua katika kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).

Upasuaji huo unafanywa na madaktari bingwa wa moyo wa Taasisi hiyo kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Albalsam Care & Care la nchini Saudi Arabia ambapo wagonjwa waliofanyiwa upasuaji wa kufungua kifua ni 10 na bila kufungua kifua kwa kutumia mtambo wa Cathlab kwa njia ya kutoboa tundu dogo katika paja 26.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu Bashir Nyangasa alisema wagonjwa waliofanyiwa upasuaji hali zao zinaendelea vizuri na wengine wameshatoka katika chumba cha uangalizi maalum na kurudi wodini kwa ajili ya kufanya mazoezi pamoja na matibabu.

“Tunafanya upasuaji wa kubadilisha valvu kwa wagonjwa ambao valvu zao hazifanyi kazi vizuri, kubadilisha mishipa ya moyo inayosafirisha damu kutoka mishipa mikubwa kwenda kwenye mzunguko wa moyo na kuziba matundu kwenye moyo kwa watu waliozaliwa na matundu hayo”,.



Hivyo makala Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).

yaani makala yote Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/wagonjwa-36-wafanyiwa-upasuaji-wa-moyo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)."

Post a Comment

Loading...