Loading...
title : WAZIRI MAJALIWA AFANYA ZIARA WILAYANI CHAMWINO
link : WAZIRI MAJALIWA AFANYA ZIARA WILAYANI CHAMWINO
WAZIRI MAJALIWA AFANYA ZIARA WILAYANI CHAMWINO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa barabara za mitaa katika mji wa Chamwino zinazojengwa kwa kiwango cha lami zenye urefu wa kilometa 3.5, Oktoba 20, 2018. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa na watatu kushoto ni Mbunge wa Chilonwa, Joel Mwaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la zabibu katika kijiji cha Chinangali wilayani Chamwino, Oktoba 20, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mashine za kusukuma maji ya umwagiliaji wakati alipotembelea shamba la zabibu katika kijiji cha Chinangali wilayani Chamwino, Oktoba 20, 2018. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia ngoma ya asili ya kabila la Wagogo wakati alipowasili katika kijiji cha Mpwayungu wilayani Chamwino kuakagua ujenzi wa Kituo cha Afya na kuhutubia mkutano wa hadhara, Oktoba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MAJALIWA AFANYA ZIARA WILAYANI CHAMWINO
yaani makala yote WAZIRI MAJALIWA AFANYA ZIARA WILAYANI CHAMWINO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAJALIWA AFANYA ZIARA WILAYANI CHAMWINO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waziri-majaliwa-afanya-ziara-wilayani.html
0 Response to "WAZIRI MAJALIWA AFANYA ZIARA WILAYANI CHAMWINO"
Post a Comment