Loading...
title : WAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MPYA CRDB
link : WAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MPYA CRDB
WAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MPYA CRDB
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu mpya wa bank ya CRDB Abdulmajid Nsekela mara baada ya kuwasili leo ofisini Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam, Oktoba 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu mpya wa bank ya CRDB Abdulmajid Nsekela, leo ofisini Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam, Oktoba 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiagana na Mkurugenzi Mkuu mpya wa bank ya CRDB Abdulmajid Nsekela, leo ofisini Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam, Oktoba 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MPYA CRDB
yaani makala yote WAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MPYA CRDB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MPYA CRDB mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waziri-mkuu-akutana-na-mkurugenzi-mpya.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MPYA CRDB"
Post a Comment