Loading...

WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME

Loading...
WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME
link : WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME

soma pia


WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na biashara za magendo zinazoendelea katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hivyo amewataka viongozi wa wilaya hiyo wajipime wenyewe. 
 Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kagera Bw. Adam Ntogha kumsimamisha kazi Afisa wa Forodha katika mpaka wa Mulongo Bw. Peter Mtei kwa tuhuma za kujihusisha na biashara za magendo. 
 Ametoa agizo hilo Jumanne, Oktoba 9, 2018 wakati akizungumza na viongozi wa mkoa wa Kagera katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kikazi ya siku nne mkoani hapa kilichofanyika mjini Bukoba. 
 “Biashara za magendo zinafanyika bila ya wao kuchukua hatua, mnatia aibu yaani hakuna kazi inayofanyika. Viongozi wa wilaya ya Kyerwa mjipime wenyewe, mialo mingi katika wilaya yenu inatumika kwa biashara ya magendo na butura.” 
 Waziri Mkuu aliongeza kuwa katika mwalo wa Mulongo ulipo kwenye eneo ambalo Tanzania inapakana na nchi za Uganda na Rwanda, biashara za magendo na butura zinafanyika na hakuna kiongozi wanaochukua hatua.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa mkoa wa Kagera katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera kwenye ukumbi wa ELCT, mjini Bukoba, Oktoba 9, 2018.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti, Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa  na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage.
Baadhi ya viongozi wa mkoa wa Kagera wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera kwenye ukumbi wa ELCT, mjini Bukoba. Oktoba 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME

yaani makala yote WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waziri-mkuu-awataka-viongozi-wa-wilaya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME"

Post a Comment

Loading...