Loading...

Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA

Loading...
Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA
link : Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA

soma pia


Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA



Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akizindua ripoti ya tathmini ya utendaji ya Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma.Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA Balozi Matern Lumbanga. 

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akizungumza wakati alipokuwa akipokea ripoti ya tathmini ya utendaji ya Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Balozi Matern Lumbanga akiwasilisha ripoti ya tathmini ya utendaji wa PPRA kwa mwaka wa fedha 2017/18, leo jijini Dodoma.Kushoto ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi. Ayoub Kisuwi. 
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa ununuzi wa Umma (PPRA) wakifuatilia ripoti ya tathmini ya utendaji wa PPRA kwa mwaka wa fedha 2017/18, leo jijini Dodoma. 
Baadhi ya watendaji kutoka Wizara ya Fedha na Mipango wakifuatilia kikao baina ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango (hayupo pichani) na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) leo jijini Dodoma. 



Hivyo makala Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA

yaani makala yote Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waziri-mpango-apokea-ripoti-tathmini-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA"

Post a Comment

Loading...