Loading...

Balozi Ali Karume atembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society Piki, Wete Pemba

Loading...
Balozi Ali Karume atembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society Piki, Wete Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Ali Karume atembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society Piki, Wete Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Ali Karume atembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society Piki, Wete Pemba
link : Balozi Ali Karume atembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society Piki, Wete Pemba

soma pia


Balozi Ali Karume atembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society Piki, Wete Pemba

 WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali Karume, akipata maelezo juu ya majani maalumu ambayo wanayopatiwa ngombe na kutoa maziwa mengi kutoka kwa mwenyekiti wakikundi cha Tungwa Corporative Society Khamis Hamad Khamis, wakati alipotembelea kikundi hicho huko Piki Wialaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 
 WAZIRI wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali Karume, akiangalia ujenzi wa hodhi la kuhifadhia maji ambapo Wizara yake imechangia shilingi Laki 50000/= katika ujenzi huo, wakati alipotembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society cha Piki Wilaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 BAADHI ng'ombe wa kikundi cha Tungwa Cooperative Society kilichopo Piki Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwa katika banda lao na wakipata majani(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 
WAZIRI wa  Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar, Balozi Ali Karume akizungumza na wanachama wa kikundi cha ufugaji wa ngombe cha Tungwa Cooperative Society Cha Piki Wilaya ya Wete(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Balozi Ali Karume atembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society Piki, Wete Pemba

yaani makala yote Balozi Ali Karume atembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society Piki, Wete Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Ali Karume atembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society Piki, Wete Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/balozi-ali-karume-atembelea-kikundi-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi Ali Karume atembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society Piki, Wete Pemba"

Post a Comment

Loading...