Loading...

Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani.

Loading...
Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani.
link : Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani.

soma pia


Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani.

 Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasialiano wa Benki ya Exim Bw Stanley Kafu  (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dr Philip Mpango ( wa tatu kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk. Albina Chuwa ( wa pili kulia), Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Profesa Peter Msoffe (wa pili kushoto) katika maadhimisho ya siku ya takwimu duniani iliyoadhimishwa jijini Dodoma hivi karibuni ambapo Benki ya Exim ilitoa kiasi cha Sh Milioni 10 kufanikisha maadhimisho hayo kupitia chuo kikuu cha UDOM.
 Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasialiano wa Benki ya Exim Bw Stanley Kafu (katikati) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Mil 10/-  kwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Profesa Peter Msoffe (wa pili kushoto) ikiwa ni mchango wa benki hiyo katika kufanikisha maadhimisho ya siku ya takwimu duniani iliyoadhimimishwa jijini Dodoma hivi karibuni.
 Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango,  akizungumza na waandishi wa habari alipohudhuria katika maadhimisho ya siku ya takwimu duniani iliyoadhimimishwa jijini Dodoma hivi karibuni.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na maadhimisho hayo.


Hivyo makala Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani.

yaani makala yote Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/benki-ya-exim-yatoa-mil-10-kufanikisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani."

Post a Comment

Loading...