Loading...
title : Breaking News, Train ya abiria njia ya Pugu yapata ajali.
link : Breaking News, Train ya abiria njia ya Pugu yapata ajali.
Breaking News, Train ya abiria njia ya Pugu yapata ajali.
Mwambawahabari
Treni ya abiria inayofanya safari zake kati ya Stesheni na Pugu, jijini Dar es Salaam imepata ajali baada ya mabehewa yake mawili kuanguka eneo la Karakata wilayani Ilala na kujeruhi watu 9, leo asubuhi, Ijumaa, Novemba 2, 2018.
Kamanda wa Reli nchini, David Mnyambuga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema mabehewa hayo mawili yameharibika vibaya na kwamba majeruhi tayari walikimbizwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Hivyo makala Breaking News, Train ya abiria njia ya Pugu yapata ajali.
yaani makala yote Breaking News, Train ya abiria njia ya Pugu yapata ajali. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Breaking News, Train ya abiria njia ya Pugu yapata ajali. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/breaking-news-train-ya-abiria-njia-ya.html
0 Response to "Breaking News, Train ya abiria njia ya Pugu yapata ajali."
Post a Comment