Loading...

CHUO CHA MISITU OLMOTONYI WAMFIKISHIA KILIO NAIBU WAZIRI MHE.KANYASU

Loading...
CHUO CHA MISITU OLMOTONYI WAMFIKISHIA KILIO NAIBU WAZIRI MHE.KANYASU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHUO CHA MISITU OLMOTONYI WAMFIKISHIA KILIO NAIBU WAZIRI MHE.KANYASU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHUO CHA MISITU OLMOTONYI WAMFIKISHIA KILIO NAIBU WAZIRI MHE.KANYASU
link : CHUO CHA MISITU OLMOTONYI WAMFIKISHIA KILIO NAIBU WAZIRI MHE.KANYASU

soma pia


CHUO CHA MISITU OLMOTONYI WAMFIKISHIA KILIO NAIBU WAZIRI MHE.KANYASU

Watumishi wa Chuo cha Misitu cha Olomotonyi wamemuomba Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu ashughulikie changamoto mbalimbali zinazowakabili   ikiwemo kufanya kazi kwa muda mrefu bila kupandishwa vyeo. Pia,  watumishi hao wamesema  wamekuwa hawapandishwi vyeo kwa muda mrefu  jambo ambalo limekuwa likishusha ari ya kufanya kazi kwa bidii.

Wameyasema hayo   leo mbele ya Naibu Waziri Mhe. Kanyasu wakati alipokuwa akisikiliza changamoto  za watumishi wa Chuo hicho  jijini Arusha  ikiwa ni mara yake ya kwanza  kukutana na watumishi hao tangu alipoteuliwa  kushika wadhifa huo   Akizungumza kwa niaba ya Watumishi wenzake, Mkufunzi wa Chuo hicho, Philipina Shao amesema  kwa muda wa miaka 12 hajapandishwa cheo  na kwa sasa anakaribia kustaafu.

Mbali na malalamiko hayo,  Watumishi hao wamemueleza Naibu Waziri huyo kuwa Chuo hicho kimekuwa kama gereza kwa vile baadhi ya watumishi ambao wameonekana kufanya vibaya maeneo mengine  huhamishiwa katika Chuo hicho kama adhabu. Wakizungumzia kuhusu  watumishi hao ambao wamekuwa wakihamishiwa  katika Chuo hicho kuwa wengi wao huwa wamebakiza miaka michache kustaafu, hivyo wanakuwa hawana mchango wowote kwa Chuo.

Aidha, Mkufunzi wa Cho hicho,Dkt.Lupala Zacharia  amesema kumekuwa na  ushirikishwaji hafifu kati ya Chuo na Idara ya Misitu na Nyuki hali inayopelekea kujiona kuwa wao sio sehemu ya  Wizara ya Maliasili na Utalii. Ameongeza kuwa kumekuwa na  mambo mengi ambayo yamekuwa yakifanywa  na Idara pasipo kushirikishwa
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akizungumza na Watumishi  wakati  alipowatembelea leo katika  Chuo cha Misitu cha Olmotonyi jijini Arusha ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu aliposhika nyadhifa hiyo.( Picha na Lusungu Helela-MNRT)
Makamu Mkuu wa Chuo cha Misitu cha Olmotonnyi Bw.Steve Kigwere akisoma taarifa  mbele ya Naibu Waziri, Mhe. Kanyasu  wakati alipotembelea leo Chuo hicho kilichopo  jijini Arusha  kwa ajili ya  kuzungumza na kuwasikiliza watumishi juu ya changamoto mbalimbali zinazowakabili ili kuweza kuzitafutia ufumbuzi.
Mkufunzi wa Chuo cha Misitu Olmotony, Charles Giliba akizungumza mbele ya Naibu Waziri Mhe, Kanyasu,   wakati alipotembelea jana  Chuo hicho kilichopo jijini Arusha  kwa ajili ya  kuzungumza na kuwasikiliza watumishi juu ya changamoto mbalimbali zinazowakabili ili kuweza kuzitafutia ufumbuzi.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala CHUO CHA MISITU OLMOTONYI WAMFIKISHIA KILIO NAIBU WAZIRI MHE.KANYASU

yaani makala yote CHUO CHA MISITU OLMOTONYI WAMFIKISHIA KILIO NAIBU WAZIRI MHE.KANYASU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHUO CHA MISITU OLMOTONYI WAMFIKISHIA KILIO NAIBU WAZIRI MHE.KANYASU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/chuo-cha-misitu-olmotonyi-wamfikishia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CHUO CHA MISITU OLMOTONYI WAMFIKISHIA KILIO NAIBU WAZIRI MHE.KANYASU"

Post a Comment

Loading...