Loading...
title : DK. SHEIN ZIARANI KENYA
link : DK. SHEIN ZIARANI KENYA
DK. SHEIN ZIARANI KENYA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakati akielekea Nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari, ambapo anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Salum Maulid Salum katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume, wakati akielekea Nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari, ambapo anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na wakuu wa Vikosi vya ulinzi na usalama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume, wakati akielekea Nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari, ambapo anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume, wakati akielekea Nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari, ambapo anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN
Hivyo makala DK. SHEIN ZIARANI KENYA
yaani makala yote DK. SHEIN ZIARANI KENYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK. SHEIN ZIARANI KENYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/dk-shein-ziarani-kenya.html
0 Response to "DK. SHEIN ZIARANI KENYA"
Post a Comment