DKT. MWAKYEMBE AIJIA JUU YANGA. - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. MWAKYEMBE AIJIA JUU YANGA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
DKT. MWAKYEMBE AIJIA JUU YANGA.link :
DKT. MWAKYEMBE AIJIA JUU YANGA.
DKT. MWAKYEMBE AIJIA JUU YANGA.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mh. Harrison Mwakyembe, amewataka Yanga kuacha utani juu ya uchaguzi na hivyo ni vema wakafanya kama walivyoagizwa.
Mwakyembe ameeleza hayo kutokana na baadhi ya wanachama kuja juu na kupinga wakisema hawataweza kufanya uchaguzi huo haswa kujaza nafasi ya Mwenyekiti.
Waziri amesema hataki kusikia sababu ambazo hazina na akieleza wao kama serikali hakuna sehemu yoyote waliyokosea kuitaka Yanga kufanya uchaguzi huo kwasababu haiwezi kuendeshwa bila uongozi.
Kutokana na baadhi yao kukataa, Mwakyembe amesema hataona sababu kuwafungia ili wakajifunze na mwisho wa siku iweze kuwa funzo kwa wengine ambao ni wabishi.
Hata hivyo tayari Yusuf Manji ambaye aliwahi kujiuzulu nafasi yake ameandika barua ya kurejea kwenye nafasi hiyo hivyo hakutakuwa na haja tena ya kujaza nafasi ya Uenyekiti.
Manji ameandika barua na kuituma kwa Baraza la Wadhamini na imesomwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo, George Mkuchika
Hivyo makala DKT. MWAKYEMBE AIJIA JUU YANGA.
yaani makala yote DKT. MWAKYEMBE AIJIA JUU YANGA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MWAKYEMBE AIJIA JUU YANGA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/dkt-mwakyembe-aijia-juu-yanga.html
Related Posts :
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Akihutubia Wakati wa Kuhairisha Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza La Wawakilishi leo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa Hoja ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza la Tisa la Wawakilishi … Read More...
VIGOGO WATATU WA RAHCO KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI MWEZI UJAO
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga kuwasomea maelezo ya awali (PH), Machi 3, 2019 vigogo watatu… Read More...
Serikali Kusimamia Maadili ya Askari Polisi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea salamu baada ya kuwasili katika Hafla ya Kufunga Mafunzo ya Ulinzi… Read More...
WAMILIKI WA LESENI ZA UCHIMBAJI MADINI ZISIZOTUMIKA MKOANI MOROGORO WAKALIA KUTI KAVU
Na Peter Haule, WFM, Morogoro
Serikali imeahidi kulifanyiakazi suala la Leseni mfu za uchimbaji madini mkoani Morogoro, ili kutoa fursa ya … Read More...
KATIBU MKUU CHAULA ATEMBELEA TAASISI YA JKCI
Wafanyakazi wa Taasisis ya Moyo Jakaya Kikwete wametakiwa kufanya kazi zao kwa umoja, kuwasaidia wahitaji na kuwatendea haki wagonjwa wanao… Read More...
0 Response to "DKT. MWAKYEMBE AIJIA JUU YANGA."
Post a Comment