Loading...
title : KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA YA FEDHA
link : KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA YA FEDHA
KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA YA FEDHA
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Mheshimiwa George Simbachawene akielezea jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokuwa ikijadili Taarifa za Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2019/2020 na Mwongozo wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2019/20 – 2021/22 katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango.
Waumbe wa Kamati ya Bajeti wakijadili Taarifa za Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2019/2020 na Mwongozo wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2019/20 – 2021/22 kataika Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Hivyo makala KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA YA FEDHA
yaani makala yote KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA YA FEDHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA YA FEDHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/kamati-ya-bajeti-yakutana-na-wizara-ya.html
0 Response to "KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA YA FEDHA"
Post a Comment