Loading...

Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa.

Loading...
Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa.
link : Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa.

soma pia


Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa.

Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa wakiwa kwenye Kikao cha kawaida na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kilichofanyika ukumbi wa Makamu wa Pili Vuga Mjini Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati Hiyo Mh. Panya Aliu Abdulla Mwakilishi   nafasi za Wanawake wa Pili kutoka kulia akikiongoza Kikao hicho cha kawaida cha kujitayarisha na Baraza la Wawakilishi linalotarajiwa kuanza Tarehe 28 Novemba 2018.Kulia ya Mh. Panya ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mihayo Juma N’hunga na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Nd. Abdulaah Hassan Mitawi.
Makamu Mwenyekiti Mh. Panya akijadiliana jambo na Mjumbe wa Kamati hiyo Mh. Ali Suleiman Shihata.
Picha na – OMPR – ZNZ.



Hivyo makala Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa.

yaani makala yote Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/kamati-ya-kudumu-ya-baraza-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa."

Post a Comment

Loading...