Loading...

KAMPUNI SABA KUTOKA NCHINI UTURUKI WAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI,TIC,BALOZI KIONDO WATOA NENO

Loading...
KAMPUNI SABA KUTOKA NCHINI UTURUKI WAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI,TIC,BALOZI KIONDO WATOA NENO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI SABA KUTOKA NCHINI UTURUKI WAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI,TIC,BALOZI KIONDO WATOA NENO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI SABA KUTOKA NCHINI UTURUKI WAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI,TIC,BALOZI KIONDO WATOA NENO
link : KAMPUNI SABA KUTOKA NCHINI UTURUKI WAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI,TIC,BALOZI KIONDO WATOA NENO

soma pia


KAMPUNI SABA KUTOKA NCHINI UTURUKI WAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI,TIC,BALOZI KIONDO WATOA NENO

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

KAMPUNI saba kutoka nchini Uturuki zimekuja nchini Tanzania na kuonesha nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maduka makubwa ya nguo, uwekezaji katika sekta ya nishat ya umeme, hoteli zenye hadhi ya nyota tano katika Jiji la Dodoma na uuzaji wa bidhaa.

Ujio wa kampuni hizo ni muendelezo wa jitihada zinazofanywa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) kwa kushirikiana na wadau katika kuhakikisha wanaendelea kuhamasisha nchi mbalimbali kuja kuwekeza nchini.

Akizungumzia ujio wa Kampuni hizo kutoka nchini Uturuki,Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Elizabert Kiondo amesema nchi yetu kwa sasa ipo kimkakati katika kuelekea uchumi wa viwanda na hivyo ujio wa kampuni hizo ambazo zitawekeza n chini zitasaidia kuongeza juhudi kwa vitendo.

Amesema nchi ya Uturuki inatambua hali tulivu ya n chini Tanzania katika masuala ya uwekezaji na hivyo moja ya jukumu ambalo amelifanya ni kuhamasisha kampuni mbalimbali za nchi hiyo zinakuja kuwekeza kwa maslahi ya Watanzania wote."Nchi yetu ipo kwenye mkakati madhubuti wa kuhakikisha tunaimarisha uchumi wetu kupitia viwanda na uwekezaji.Wenzetu wa Uturuki wameelewa tunakoelekea na hivyo sasa wamekubali kuja nchini kuwekeza.

" Hizi kampuni saba ambazo nimekuja nazo zimeonesha nia ya kuwekeza kwenye maduka makubwa ya nguo, kujenga hoteli zenye hadhi ya nyota tano,kushiriki kwenye sekta ya umeme na kuongeza thamani ya bidhaa zitokanazo na kilimo,"amesema Balozi Kiondo.

Amefafanua kuwa kampuni hizo zimeonesha kuamini Tanzania kuna soko la uhakika na kubwa zaidi baada ya kuanza shughuli zao hakutakuwa na sababu ya msingi kusafiri kwenda katika nchi hiyo kupata bidhaa kwani zitapatikana hapa hapa nchini Tanzania.Kwa upande wake Mkurugenzi wa Uhamasishaji Uwekezaji kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)John Mnali amesisitiza kampuni hizo saba kuonesha nia ya kuwekeza nchini katika nyanja mbalimbali.



Hivyo makala KAMPUNI SABA KUTOKA NCHINI UTURUKI WAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI,TIC,BALOZI KIONDO WATOA NENO

yaani makala yote KAMPUNI SABA KUTOKA NCHINI UTURUKI WAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI,TIC,BALOZI KIONDO WATOA NENO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI SABA KUTOKA NCHINI UTURUKI WAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI,TIC,BALOZI KIONDO WATOA NENO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/kampuni-saba-kutoka-nchini-uturuki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI SABA KUTOKA NCHINI UTURUKI WAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI,TIC,BALOZI KIONDO WATOA NENO"

Post a Comment

Loading...