Loading...

KIJANA AUA MTOTO BAADA YA KUIBA NJIWA.

Loading...
KIJANA AUA MTOTO BAADA YA KUIBA NJIWA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIJANA AUA MTOTO BAADA YA KUIBA NJIWA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIJANA AUA MTOTO BAADA YA KUIBA NJIWA.
link : KIJANA AUA MTOTO BAADA YA KUIBA NJIWA.

soma pia


KIJANA AUA MTOTO BAADA YA KUIBA NJIWA.


Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamtafuta kijana aliyefahamka kwa jina la Aman Filipo kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wa miaka 11 Emanueli Justine baada ya mtoto huyo kusadikika kuiba njiwa wake.

Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Augustine Senga, amesema kwa hatua ya awali Jeshi hilo linamshikilia mama mzazi wa mtoto huyo kwa madai ya kushiriki kifo cha mwanaye wakati akiadhibiwa na mtuhumiwa, kijana Aman Philipo.

“Tunamshikilia mama mzazi wa mtoto aliyefariki, Mariamu Daudi kwa kushuhudia na kuruhusu mtoto wake kupigwa na Aman Filipo kwa madai ya kuiba njiwa na kupelekea kifo cha mtoto huyo baada ya kupewa adhabu kupita kiasi,” amesema Kamanda Asenga.

“Kwa taarifa tulizopata, kijana aliyefanya unyama huo anajulikana katika mtaa wake hivyo tunaendelea kufanya upelelezi na tukimkamata hatua zingine zitaendelea za kuwafikisha watuhumiwa mahakamani kwa ajili ya kujibu mashtaka," ameongeza Senga.

Aidha Kamanda Senga ameitaka Jamii kutumia madawati mbalimbali ya yanayojihusisha na masuala ya watoto ili kujua namna ya kuyakabili matatizo ya watoto


Hivyo makala KIJANA AUA MTOTO BAADA YA KUIBA NJIWA.

yaani makala yote KIJANA AUA MTOTO BAADA YA KUIBA NJIWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIJANA AUA MTOTO BAADA YA KUIBA NJIWA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/kijana-aua-mtoto-baada-ya-kuiba-njiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KIJANA AUA MTOTO BAADA YA KUIBA NJIWA."

Post a Comment

Loading...