Loading...

KINASA wamekuja na wimbo unaoelimisha jamii juu ya matumizi ya madawa ya Kulevya

Loading...
KINASA wamekuja na wimbo unaoelimisha jamii juu ya matumizi ya madawa ya Kulevya - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KINASA wamekuja na wimbo unaoelimisha jamii juu ya matumizi ya madawa ya Kulevya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KINASA wamekuja na wimbo unaoelimisha jamii juu ya matumizi ya madawa ya Kulevya
link : KINASA wamekuja na wimbo unaoelimisha jamii juu ya matumizi ya madawa ya Kulevya

soma pia


KINASA wamekuja na wimbo unaoelimisha jamii juu ya matumizi ya madawa ya Kulevya

Ni mara chache sana kwa vijana kuamua kuandika wimbo unaolenga kuelimisha jamii, mara nyingi sana tumekuwa tukisikia nyimbo za mapenzi au ku-bang na kujirusha lakini kwa namna ya kipekee kabisa kikundi cha Muziki cha Kiswahili na Sanaa (KINASA) wamekuja na wimbo unaoelimisha juu ya matumizi ya madawa ya Kulevya. 

Wimbo huo unaofahamika kama Narudi nyumbani ambao ndani yake umekuwa ukielezea kuwa mwathirika wa madawa sio muhalifu, anahitaji kusaidiwa na sio kutengwa, anahitaji kuheshimika na kuthaminika. Wimbo huo ulioandaliwa na Tanzania Bora Initiative chini za mzalishaji mahiri anyefanya vizuri kwenye game ya muziki (Mocco Geneius) na video kufanya na Adam Juma ambaye ni miongoni mwa ma-director wakubwa sana nchini Tanzania. 


Tembelea Katika link https://www.youtube.com/watch?v=5B7ru4V_mpQ kuona kile ambacho vijana wa kitanzania wanaweza kufanya kwa ajili na Vijana wenzao na nchi yao. Enjoy.


Hivyo makala KINASA wamekuja na wimbo unaoelimisha jamii juu ya matumizi ya madawa ya Kulevya

yaani makala yote KINASA wamekuja na wimbo unaoelimisha jamii juu ya matumizi ya madawa ya Kulevya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KINASA wamekuja na wimbo unaoelimisha jamii juu ya matumizi ya madawa ya Kulevya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/kinasa-wamekuja-na-wimbo-unaoelimisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KINASA wamekuja na wimbo unaoelimisha jamii juu ya matumizi ya madawa ya Kulevya"

Post a Comment

Loading...