Loading...

MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA

Loading...
MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA
link : MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA

soma pia


MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA

Na.Alex Sonna,Dodoma

Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi imezitaka mamlaka zinazohusika na maji pamoja na umeme kufikisha huduma hizo mapema iwezekanavyo katika mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma ili kurahisisha ujenzi wa ofisi za Wizara kuanza.

Naibu waziri wa wizara hiyo Angelina Mabula ametoa maagizo hayo leo alipotembelea eneo zinapojengwa ofisi za Wizara ya Fedha na Mpango, Wizara ya Ardhi nyumba maendeleo ya makazi pamoja na Wizara ya Afya, maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto katika eneo hilo.

Mabula amesema kuwa kutokana na kasi walinayo Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) ambao ndio wanatekeleza ujenzi huo wanaweza kukwamishwa na changamoto ya maji .

“Shirika la Nyumba wako serius kweli na kazi hii maana walipewa kazi ya kujenga ofisi za Wizara tatu baada ya siku mbili tu wakaanza kufanyia kazi agizo hilo, ila changamoto inakuwa kwenye huduma ya maji na umeme ambazo hazipo katika eneo hili.
Bw.Frank Mambo,mbunifu majengo kutoka Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) akimuonyesha eneo Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi ,Angelina Mabula itakapojengwa ofisi za Wizara hiyo alipotembelea eneo hilo leo jijini Dodoma
Mafundi mbalimbali kutoka Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) wapo kazini katika eneo la ujenzi wa ofisa za Wizara ya Fedha na Mpango, Wizara ya Ardhi nyumba maendeleo ya makazi pamoja na Wizara ya Afya, maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto
Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi ,Angelina Mabula akiangalia ramani ya ujenzi wa ofisi ya wizara yake katika ni Frank Mambo,mbunifu majengo kutoka Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) na kulia ni wa msimamizi mradi huo Hasani Bendera 
Bango likionesha mji wa Serikali ambapo eneo hilo zitajengwa ofisi za wizara mbalimbali Ihumwa jijini Dodoma



Hivyo makala MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA

yaani makala yote MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mabula-azitaka-mamlaka-zinazohusika-na_29.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...