Loading...

MAGWIJI WA KARATE WA OKINAWA WAWAAGA WANA-JUNDOKAN KWA " SAYONARA PARTY"

Loading...
MAGWIJI WA KARATE WA OKINAWA WAWAAGA WANA-JUNDOKAN KWA " SAYONARA PARTY" - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAGWIJI WA KARATE WA OKINAWA WAWAAGA WANA-JUNDOKAN KWA " SAYONARA PARTY", tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAGWIJI WA KARATE WA OKINAWA WAWAAGA WANA-JUNDOKAN KWA " SAYONARA PARTY"
link : MAGWIJI WA KARATE WA OKINAWA WAWAAGA WANA-JUNDOKAN KWA " SAYONARA PARTY"

soma pia


MAGWIJI WA KARATE WA OKINAWA WAWAAGA WANA-JUNDOKAN KWA " SAYONARA PARTY"

Ma- Masters wa Karate toka mitindo tofauti walihudhuria ufungaji wa sherehe ya chama cha Jundokan kilichotimiza miaka 65 na kuwakusanya wanachama wake toka nchi 30 ikiwemo na Tanzania iliyowakilishwa  na sensei Fundi Rumadha kwenye Asato Royal Orion Hotel, Naha,Okinawa,Japan. 
 Meza kuu magwiji wa karate ngazi ya juu kabisa wa Jundokan So Honbu.Masters: Kancho Yoshihiro Miyazato mwenyekiti wa Jundokan pia ni mtoto wa Eiichi Miyazato, Yasuda sensei, Kinjo sensei, Gima sensei, Higa sensei, Nakada sensei(USA), Renee sensei(France), Merriman sensei(USA) na Gsodam sensei ( Austria).
 Sensei Rumadha Fundi akiwa na Meitatsu Yagi kulia  wa  Meibukan Goju Ryu ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chojun Miyagi sensei, Meitoku Yagi mwanzilishi wa Meibukan Goju Ryu, kati ni master wa Okinawa Kobudo.
 Master Tetnosuke Yasuda Dan 10, umri wa zaidi miaka 94 akiwa na sensei Fundi Rumadha
 Sensei Rumadha akiwa Mwenyekiti wa Jundokan ambae pia ni mtoto wa mwanzilishi wa chama hicho master Eiichi Miyazato, pia ndie aliyekuwa mwalimu wa sensei Bomani mwanzilishi wa tawi la Jundokan Tanzania 1973.
Katika ufungaji wa sherehe hizo, pia walitunukiwa shahada au Dan wale wote waliopita mitihani yao asubuhi kabla ya sherehe. Ngazi ya juu kabisa katika shere hii kutunukiwa Dan,  ni Master Rony Kluger toka Israel aliyefuzu na kupewa shahada ya dan ya 9 na kuwa na cheo cha "Hanshi". pichani hapo Master Kluger akifanya kata ya Tensho.


Hivyo makala MAGWIJI WA KARATE WA OKINAWA WAWAAGA WANA-JUNDOKAN KWA " SAYONARA PARTY"

yaani makala yote MAGWIJI WA KARATE WA OKINAWA WAWAAGA WANA-JUNDOKAN KWA " SAYONARA PARTY" Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAGWIJI WA KARATE WA OKINAWA WAWAAGA WANA-JUNDOKAN KWA " SAYONARA PARTY" mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/magwiji-wa-karate-wa-okinawa-wawaaga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAGWIJI WA KARATE WA OKINAWA WAWAAGA WANA-JUNDOKAN KWA " SAYONARA PARTY""

Post a Comment

Loading...