Loading...

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB, IKULU JIJINI DAR LEO

Loading...
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB, IKULU JIJINI DAR LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB, IKULU JIJINI DAR LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB, IKULU JIJINI DAR LEO
link : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB, IKULU JIJINI DAR LEO

soma pia


MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB, IKULU JIJINI DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela aliyemtembelea ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Nsekela alikwenda kwa lengo la kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa aliyeambatana na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB, IKULU JIJINI DAR LEO

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB, IKULU JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB, IKULU JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-rais-akutana-na-mkurugenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB, IKULU JIJINI DAR LEO"

Post a Comment

Loading...