Loading...

MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI

Loading...
MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI
link : MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI

soma pia


MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini, kushoto kwa Makamu wa Rais ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Anna Mghwira. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa mkono wa pole Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Mzee Reginald Mengi mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro ambaye alikuwa moja ya waliohudhuria ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini.

 Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Mzee Reginald Mengi akizungumza na mwanae Bw. Abdiel Mengi wakati wa Ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Dkt. Maria Kamm (kulia) ambaye alikuwa moja ya waliohudhuria ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-rais-atoa-heshima-za-mwisho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI"

Post a Comment

Loading...