Loading...
title : MAONYESHO YA SWAHILI FASHION WEEK KUFANYIKA NOVEMBER 30 HADI DISEMBA
link : MAONYESHO YA SWAHILI FASHION WEEK KUFANYIKA NOVEMBER 30 HADI DISEMBA
MAONYESHO YA SWAHILI FASHION WEEK KUFANYIKA NOVEMBER 30 HADI DISEMBA
Katika kuendeleza mafanikio makubwa na ya kipekee kwa msimu wa 11 ya maonyesho ya jukwaa la mitindo (SWAHILI FASHION WEEK) ambalo ni la kipekee Afrika mashariki maandalizi yafunguliwa rasmi jijini Dar es salaam.
Mbunifu wa mitindo nchini Mustafa hassanali akizungumza na wadau, wabunifu pamoja na wanahabari amefungua rasmi maandalizi ya wiki ya mitando amesema kuwa maandalizi ya mwaka huu ni ya kusisimua na kufurahisha sababu kazi za mitindo ziko hali ya juu .
Hassanali amesema kwa utiifu wote lengo la kuendeleza na kuimarisha nafasi ya mitindo kwa Afrika linabaki kuwa mbele,kupitia jukwaa hili na mchango mkubwa wa waandishi wa habari tutaendelea kuunga mkono vipaji vilivyopo katika sekta ya mitindo.
Aidha,amefafanua zaidi licha ya kuunga mkono kuendeleza vipaji bali pia kutengeneza na kukuza soko la kimataifa na ndio sababu kuu ya kuunga mkono kutekeleza juhudi za Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli Katika sera ya kuelekea uchumi wa viwanda kupitia bidhaa za nguo zilizotengenezwa Tanzania.
Alikadhalika balozi wa italia nchini Tanzania ROBERT MENGONI amesema ifike pahala kila mtu aheshimu kazi za Ubunifu wa mitindo kama biashara kutokana na wabunifu kuwekeza na kupata vipato vya kuendesha maisha yao pamoja na familia kupitia Ubunifu huo. kwa upande wa mwakilishi wa baraza la Sanaa (BASATA) Vivian shalura amepongeza juhudi zinazofanywa na mbunifu huyo mahiri katika mitindo ambae amekua akifata sheria pamoja na vibali huku akiwa amejisajiri kikamilifu.
Shalua amewataka wabunifu chipukizi wajaribu kubuni nguo ambazo hazitawabugudhi au kudharirisha watazamaji,pia amewashauri wabunifu kukuza lugha yetu ya kiswahili kupitia baadhi ya Nguo ambazo majina yake yanatokana na kiswahili chetu kama vile mshono wa mwanamke nyonga.
Mbunifu wa mitindo nchini Mustafa hassanali akizungumza akifungua maandalizi ya wiki ya mitindo Balozi wa italia nchini Robert mengoni akiwa mwakilishi kutoka baraza la Sanaa (BASATA) Vivian sharula
Hivyo makala MAONYESHO YA SWAHILI FASHION WEEK KUFANYIKA NOVEMBER 30 HADI DISEMBA
yaani makala yote MAONYESHO YA SWAHILI FASHION WEEK KUFANYIKA NOVEMBER 30 HADI DISEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAONYESHO YA SWAHILI FASHION WEEK KUFANYIKA NOVEMBER 30 HADI DISEMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/maonyesho-ya-swahili-fashion-week.html
0 Response to "MAONYESHO YA SWAHILI FASHION WEEK KUFANYIKA NOVEMBER 30 HADI DISEMBA"
Post a Comment