Loading...

Mashindano ya Riadha kwa Wanawake "Ladies First" Kufanyika Dar

Loading...
Mashindano ya Riadha kwa Wanawake "Ladies First" Kufanyika Dar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mashindano ya Riadha kwa Wanawake "Ladies First" Kufanyika Dar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mashindano ya Riadha kwa Wanawake "Ladies First" Kufanyika Dar
link : Mashindano ya Riadha kwa Wanawake "Ladies First" Kufanyika Dar

soma pia


Mashindano ya Riadha kwa Wanawake "Ladies First" Kufanyika Dar

Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Alex Mkenyenge (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitangaza mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First” yanayotarajiwa kufanyika tarehe 24-25 Novemba katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa Taasisi ya Ushirikiano wa Kimataifa ya Japan (JICA) Bw. Toshio Nagase na kushoto ni Katibu Msaidizi wa Chama cha Riadha nchini (RT) Bi. Ombeni Zavala.
Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa Taasisi ya Ushirikiano wa Kimataifa ya Japan (JICA) Bw. Toshio Nagase akifafanua  jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First” yanayotarajiwa kufanyika tarehe 24-25 Novemba katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, katikati ni Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Alex Mkenyenge na kushoto ni Katibu Msaidizi wa Chama cha Riadha nchini (RT) Bi. Ombeni Zavala.
Katibu Msaidizi wa Chama cha Riadha nchini (RT) Bi. Ombeni Zavala akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First” yanayotarajiwa kufanyika tarehe 24-25 Novemba katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, katikati ni Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Alex Mkenyenge na kulia ni ni Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa Taasisi ya Ushirikiano wa Kimataifa ya Japan (JICA) Bw. Toshio Nagase.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa Taasisi ya Ushirikiano wa Kimataifa ya Japan (JICA) Bw. Toshio Nagase (wa pili toka kushoto) wakati wa kutangaza mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First” yanayotarajiwa kufanyika tarehe 24-25 Novemba katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Picha na WHUSM- Dar es Salaam.



Hivyo makala Mashindano ya Riadha kwa Wanawake "Ladies First" Kufanyika Dar

yaani makala yote Mashindano ya Riadha kwa Wanawake "Ladies First" Kufanyika Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mashindano ya Riadha kwa Wanawake "Ladies First" Kufanyika Dar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mashindano-ya-riadha-kwa-wanawake.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mashindano ya Riadha kwa Wanawake "Ladies First" Kufanyika Dar"

Post a Comment

Loading...