Loading...
title : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJIJI DODOMA
link : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJIJI DODOMA
MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJIJI DODOMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa Bunda Boniphace Mwita, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali ya papo kwa papo, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Khamis Kigwangala, akifurahia jambo na Mbunge wa Mlalo Lushoto Rashid Shangazi, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Khamis Kigwangala, akijibu swali Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na baadhi ya Wabunge, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJIJI DODOMA
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJIJI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJIJI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/matukio-mbalimbali-ya-waziri-mkuu.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJIJI DODOMA"
Post a Comment