Loading...

MFAHAMU MICHAEL KEARNEY KIJANA ALIYEMALIZA CHUO AKIWA NA MIAKA 10 PEKEE

Loading...
MFAHAMU MICHAEL KEARNEY KIJANA ALIYEMALIZA CHUO AKIWA NA MIAKA 10 PEKEE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MFAHAMU MICHAEL KEARNEY KIJANA ALIYEMALIZA CHUO AKIWA NA MIAKA 10 PEKEE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MFAHAMU MICHAEL KEARNEY KIJANA ALIYEMALIZA CHUO AKIWA NA MIAKA 10 PEKEE
link : MFAHAMU MICHAEL KEARNEY KIJANA ALIYEMALIZA CHUO AKIWA NA MIAKA 10 PEKEE

soma pia


MFAHAMU MICHAEL KEARNEY KIJANA ALIYEMALIZA CHUO AKIWA NA MIAKA 10 PEKEE



MICHAEL Kearney raia wa Marekani ndiye kijana pekee aliyevunja rekodi ya kumaliza chuo akiwa na umri mdogo kabisaa wa miaka 10 na kuwa mwalimu wa chuo kikuu akiwa bado kijana.

Michael alizaliwa Januari 18, 1984 familia yake ikinukuliwa na jarida la Chuo cha San Marin ilieleza kuwa Michael alianza kufundishwa na wazazi wake kabla ya kwenda shule na hiyo ni baada ya kuona namna anavyokuwa na kichwa chepesi na akili zilizopitiliza katika kuelewa mambo, imeelezwa kuwa hata dada yake Michael aitwaye Maeghan alimaliza chuo akiwa na miaka 16 pekee.

Imeelezwa kuwa akiwa na miezi minne pekee Michael alitamka neno la kwanza na akiwa na miezi 10 alijifunza kusoma na alipofika miaka 4 alifahamu na kujua hesabu akiwa hajaanza shule kabisa.

Akiwa na umri wa miaka 6 alienda shule ya San Marin kwa muda wa mwaka mmoja kabla ya kijiunga na elimu ya juu.

Akiwa na miaka 10 Michael alipata shahada yake ya kwanza katika fani ya Anthropolojia, na alipofika miaka 14 alipata shahada ya uzamili katika chuo cha Middle Tennesse mwaka 1999 na baadaye kufundisha katika chuo hicho na alipofikia miaka 18 tuu alipata shahada ya uzamivu (PHD) Katika fani ya Sayansi ya kompyuta na kuendelea kufundisha katika chuo hicho.


Hivyo makala MFAHAMU MICHAEL KEARNEY KIJANA ALIYEMALIZA CHUO AKIWA NA MIAKA 10 PEKEE

yaani makala yote MFAHAMU MICHAEL KEARNEY KIJANA ALIYEMALIZA CHUO AKIWA NA MIAKA 10 PEKEE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MFAHAMU MICHAEL KEARNEY KIJANA ALIYEMALIZA CHUO AKIWA NA MIAKA 10 PEKEE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mfahamu-michael-kearney-kijana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MFAHAMU MICHAEL KEARNEY KIJANA ALIYEMALIZA CHUO AKIWA NA MIAKA 10 PEKEE"

Post a Comment

Loading...