Loading...
title : MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB ATAMBULISHWA BUNGENI, JIJINI DODOMA LEO
link : MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB ATAMBULISHWA BUNGENI, JIJINI DODOMA LEO
MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB ATAMBULISHWA BUNGENI, JIJINI DODOMA LEO
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alipomkaribisha Bungeni jijini Dodoma leo. Nsekela alimtembelea Spika Ndugai kwa lengo la kujitambulisha baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela aliyemtemebelea Bungeni, jijini Dodoma leo kwa lengo la kujitambulisha baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo, Ally Laay.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ujumbe wa Benki ya CRDB uliomtembelea Bungeni jijini Dodoma leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akipungua wakati alipotambulishwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, kwa Wabunge jijini Dodoma leo.
Hivyo makala MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB ATAMBULISHWA BUNGENI, JIJINI DODOMA LEO
yaani makala yote MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB ATAMBULISHWA BUNGENI, JIJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB ATAMBULISHWA BUNGENI, JIJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mkurugenzi-mtendaji-wa-benki-ya-crdb_15.html
0 Response to "MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB ATAMBULISHWA BUNGENI, JIJINI DODOMA LEO"
Post a Comment