Loading...
title : MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA HILO LEO
link : MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA HILO LEO
MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA HILO LEO
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Felix Maagi akimpokea Mkurugenzi Mkuu mpya Dk. Maulid Banyani katika ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa asubuhi ya leo ikiwa ni kwa mara ya kwanza kufika katika shirika hilo akiwa Mkurugenzi Mkuu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Dk. Maulid Banyani akisisitiza jambo kwa Menejimenti ya Shirika.
Mkurugenzi Mkuu Dk. Maulid Banyani akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Shirika la Nyumba la Taifa.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA
KWA PICHA ZAIDI BOFYA
Hivyo makala MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA HILO LEO
yaani makala yote MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA HILO LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA HILO LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mkurugenzi-wa-shirika-la-nyumba-la.html
0 Response to "MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA HILO LEO"
Post a Comment