Loading...

Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 Mbeya akabidhiwa fedha zake

Loading...
Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 Mbeya akabidhiwa fedha zake - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 Mbeya akabidhiwa fedha zake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 Mbeya akabidhiwa fedha zake
link : Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 Mbeya akabidhiwa fedha zake

soma pia


Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 Mbeya akabidhiwa fedha zake

Mshindi wa pili wa nyumba na sh Milioni 20 wa bahati nasibu ya Biko, Alex Nyoka, amekabidhiwa fedha zake jana mkoani Mbeya, ikiwa ni siku moja baada ya kuibuka kidedea kutoka kwenye droo ya 158 ya Biko, iliyochezeshwa mwishoni mwa wiki.

Makabidhiano hayo yamefanyika jana Lujewa, Mbalari mkoani Mbeya na kuongozwa na Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Biko, Grace Kaijage, huku mshindi huyo akizungumzia mkakati wake wa kujikwamua kimaisha baada ya kuibuka mshindi wa Biko.mechelewa kuamini kama ni kweli anaweza kuwa mshindi wa fedha nyingi na nyumba kutoka kwenye bahati nasibu pendwa ya Biko nchini Tanzania.

"Bado siamini kama ni kweli nimeshinda bahati nasibu ya Biko, ingawa nimeshika fedha hizi kwa sababu nilikuwa natamani nishinde ingawa najua waliokuwa wanataka ushindi huu sipo peke yangu.

"Kwakweli namshukuru Mungu kwa zawadi hii kubwa, huku nikiwataka Watanzania wengine wacheze Biko ili washinde kwa sababu sijawahi kuona bahati nasibu inayochezeshwa kwa uwazi na hata fedha zinaingizwa bank moja kwa moja, hivyo hakuna dalili ya unganyifu," Alisema.
 Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 wa Biko, Alex Nyoka, mkazi wa Mbalari mkoani Mbeya, akiwa na furaha tele baada ya kukabidhiwa fedha zake jana mkoani Mbeya.
Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 wa Biko, Alex Nyoka, mkazi wa Mbalari mkoani Mbeya, akiwa na furaha tele baada ya kukabidhiwa fedha zake jana mkoani Mbeya. Kulia kwake ni Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Biko, Grace Kaijage.



Hivyo makala Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 Mbeya akabidhiwa fedha zake

yaani makala yote Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 Mbeya akabidhiwa fedha zake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 Mbeya akabidhiwa fedha zake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mshindi-wa-nyumba-na-sh-milioni-20.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mshindi wa nyumba na sh Milioni 20 Mbeya akabidhiwa fedha zake"

Post a Comment

Loading...