Loading...
title : MTANZANIA JONESIA RUKYAA KUCHEZESHA FAINALI ZA AFCON YA WANAWAKE
link : MTANZANIA JONESIA RUKYAA KUCHEZESHA FAINALI ZA AFCON YA WANAWAKE
MTANZANIA JONESIA RUKYAA KUCHEZESHA FAINALI ZA AFCON YA WANAWAKE
Na Agness Francis, Globu ya Jamii.
Uongozi wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) umemtangaza Mtanzania Pekee ambaye ni mwamuzi Jonesia Rukyaa kuwa amechaguliwa kuchezesha Fainali za Afrika za Wanawake zitakazofanyika nchini Ghana.
Rukya ni muauzi kutoka Mkoani Kagera ambaye amekuwa akiminiwa Sana katika umakini wa kazi yake na hasa katika kuchezesha mechi za Ligi kuu Tanzania bara.
Muamuzi huyo amechaguliwa katika orodha ya Waamuzi wa katikati kuchezesha michezo ya fainali za Afrika za wanawake zitakofanyika nchini Ghana.
Ambapo jumla ya Waamuzi 13 waliochaguliwa ni wa kati Kati na wasaidizi ni 12.
TFF imesema Fainali hizo pia zitatumika kupata timu zitakazowakilisha Afrika kwenye Fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake zitakazofanyika mwakani nchini Ufaransa.
Ambapo Washindi Watatu wa juu ndio watakaofuzu kushiriki Kombe la Dunia.
Hivyo makala MTANZANIA JONESIA RUKYAA KUCHEZESHA FAINALI ZA AFCON YA WANAWAKE
yaani makala yote MTANZANIA JONESIA RUKYAA KUCHEZESHA FAINALI ZA AFCON YA WANAWAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTANZANIA JONESIA RUKYAA KUCHEZESHA FAINALI ZA AFCON YA WANAWAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mtanzania-jonesia-rukyaa-kuchezesha.html
0 Response to "MTANZANIA JONESIA RUKYAA KUCHEZESHA FAINALI ZA AFCON YA WANAWAKE"
Post a Comment