Loading...
title : NEWZ ALERT: KINONDONI YATAJA SABABU KUZUIA FIESTA VIWANJA VYA LEADERS, CLOUDS MEDIA WATOA YA MOYONI
link : NEWZ ALERT: KINONDONI YATAJA SABABU KUZUIA FIESTA VIWANJA VYA LEADERS, CLOUDS MEDIA WATOA YA MOYONI
NEWZ ALERT: KINONDONI YATAJA SABABU KUZUIA FIESTA VIWANJA VYA LEADERS, CLOUDS MEDIA WATOA YA MOYONI
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imefuta kibali cha kufanyika kwa tamasha la Tigo Fiesta ambalo lilitarajiwa kufanyika leo Viwanja vya Leaders.
Sababu za kufuta kibali cha kufanyika tamasha hilo kwenye viwanja hivyo imetokana na Ofisi ya Ofisa Utamaduni wa Halmashauri hiyo ya Kinondoni kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi na wagonjwa waliolazwa hospitalini kutokana na matangazo yaliyoambatana na muziki unaopigwa kwa sauti kubwa.
Barua ya Ofisa Utamaduni wa Halmashauri ya Kinondoni ambayo nakala yake imekwenda kwa Mkurugenzi wa Clouds Media imeeleza kuwa kutokana na malalamiko hayo amefuta kibali kilichotolewa Novemba 22 mwaka huu cha kufanyika kwa Fiesta uwanja wa Leaders na kuihamishia uwanjwa Tanganyika Peakers-Kawe.
Baada ya barua hiyo , uongozi wa Kamati ya maandalizi ya Tigo Fiesta 2018 umesema kwa masikitiko makubwa wanatangaza kusitisha tukio la kilele cha msimu wa Tigo Fiesta lililopaswa kufanyika leo Novemba 24 mwaka 2018 katika viwanja vya Leaders na kwamba sababu zilizotolewa kusitishwa kwa tamasha hilo zipo nje ya uwezo wao.
"Tunaomba radhi kwa madhara yoyote yatakayosababishwa na hili.Tunaambua fika wapenzi wa Tigo Fiesta Dar es Salaam na nje ya Dar waishajiandaa vema na tukio hili na zaidi walishanunua tiketi.Kwa walionunua tiketi kwenye Tigo pesa watarudishiwa fedha zao na wale ambao walinunua vituo vya mauzo wafike kwenye vituo hivyo watarudishiwa fedha zao.
"Mioyo yetu imejawa na shukrani,sisi Clouds Media Group ,Prime Time Promotions,Tigo Tanzania,TBL, na Tatu Mzuka tutazidi kuwashukuru Watanzania wote kwa kutuchagua na ahadi yetu ni kuendelea kuwatumikia.Pia tunatoa shukrani kwa Serikali na wadau wote ambao wamejitoa kwa hali na mali kufanikisha shughuli zote za Tigo Fiesta tangu kuanza kwa msimu hadi sasa,"umesema uongozi huo kupitia taarifa yao kwa vyombo vya habari.

Taarifa kutoka Afisa Utamaduni Manispaa ya Kinondoni
Taarifa kutoka kwa Waandaji wa Tamasha la Fiesta.
Hivyo makala NEWZ ALERT: KINONDONI YATAJA SABABU KUZUIA FIESTA VIWANJA VYA LEADERS, CLOUDS MEDIA WATOA YA MOYONI
yaani makala yote NEWZ ALERT: KINONDONI YATAJA SABABU KUZUIA FIESTA VIWANJA VYA LEADERS, CLOUDS MEDIA WATOA YA MOYONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: KINONDONI YATAJA SABABU KUZUIA FIESTA VIWANJA VYA LEADERS, CLOUDS MEDIA WATOA YA MOYONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/newz-alert-kinondoni-yataja-sababu.html
0 Response to "NEWZ ALERT: KINONDONI YATAJA SABABU KUZUIA FIESTA VIWANJA VYA LEADERS, CLOUDS MEDIA WATOA YA MOYONI"
Post a Comment