Loading...
title : OPERESHENI KOROSHO YAZIDI KUNUFAISHA WAKULIMA WA MIKOA YA KUSINI
link : OPERESHENI KOROSHO YAZIDI KUNUFAISHA WAKULIMA WA MIKOA YA KUSINI
OPERESHENI KOROSHO YAZIDI KUNUFAISHA WAKULIMA WA MIKOA YA KUSINI
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, Rukia Muwango (wa pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Market Watch Co. Ltd anayesimamia wa Ghala la kuhifadhia korosho la Lindi –Nachingwea Farmers Msafiri Zombe (wa pili kushoto) kuhusu hali ya upokeaji na usafirishaji wa korosho katika Ghala hilo wakati wa ziara yake aliyoifanya Ijumaa Novemba 23, 2018.

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, Rukia Muwango (mbele) akizungumza na Uongozi wa Umoja wa Akina Mama wanaotoa huduma ya chakula kwa wabebaji na washushaji wa zao la korosho katika Ghala la Lindi-Nachingwea Farmers waliofika mbele yake kwa ajili ya kueleza changamoto mbalimbali zinazowakabili mara baada ya kufanya ziara katika Ghala hilo Ijumaa Novemba 23, 2018.

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Rukia Muwango akitazama orodha ya majina ya wabebaji na washushaji aliyopatiwa na Uongozi wa wapokeaji na washushaji wa zao la korosho katika Ghala la kuhifadhia zao la korosho la Lindi-Nachingwea Farmers wa waliofika mbele yake kwa ajili ya kueleza changamoto mbalimbali zinazowakabili mara baada ya kufanya ziara katika Ghala hilo Ijumaa Novemba 23, 2018.
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, Rukia Muwango akizungumza na watoa huduma ya ushushaji na upakiaji wa shehena ya zao la korosho katika Ghala la Lindi-Nachingwea Farmers waliofika mbele yake kwa ajili ya kueleza changamoto mbalimbali zinazowakabili mara baada ya kufanya ziara katika Ghala hilo Ijumaa Novemba 23, 2018.

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, Rukia Muwango akizungumza na Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati alipofanya ziara katika Ghala la kuhifadhia zao la korosho la Lindi-Nachingwea Farmers Ijumaa Novemba 23, 2018 kujionea hali halisi ya zoezi la usafirishaji wa korosho kuelekea katika Maghala Makubwa yaliyopo Mkoani Mtwara.
Katibu Mtendaji Mkuu wa Chama cha Ushirika wa Msingi cha Makanjiro AMCOS kilichopo Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi, Rashidi Chihope akionesha nakala ya orodha ya majina ya wanachama wa Chama hicho wakulima wa zao la korosho waliolipwa na Serikali kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) sehemu ya taarifa ya kifedha kutoka Benki ya NMB Ijumaa wiki iliyopita.

Hivyo makala OPERESHENI KOROSHO YAZIDI KUNUFAISHA WAKULIMA WA MIKOA YA KUSINI
yaani makala yote OPERESHENI KOROSHO YAZIDI KUNUFAISHA WAKULIMA WA MIKOA YA KUSINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala OPERESHENI KOROSHO YAZIDI KUNUFAISHA WAKULIMA WA MIKOA YA KUSINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/operesheni-korosho-yazidi-kunufaisha.html
0 Response to "OPERESHENI KOROSHO YAZIDI KUNUFAISHA WAKULIMA WA MIKOA YA KUSINI"
Post a Comment