Loading...
title : OPERESHENI MIKOA YA KUSINI: JESHI LA POLISI LAKAMATA SHEHENA YA SILAHA NA MILIPUKO NDANI YA MWEZI MMOJA
link : OPERESHENI MIKOA YA KUSINI: JESHI LA POLISI LAKAMATA SHEHENA YA SILAHA NA MILIPUKO NDANI YA MWEZI MMOJA
OPERESHENI MIKOA YA KUSINI: JESHI LA POLISI LAKAMATA SHEHENA YA SILAHA NA MILIPUKO NDANI YA MWEZI MMOJA
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, katikati akiwa amenyanyua silaha aina ya AK 47 zilizopatikana katika Operesheni maalum ya kupambana na uhalifu iliyofanyika kuanzia Octoba mwaka huu mpaka Novemba mwaka huu katika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma.
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, katikati akiwa amenyanyua Bomu moja (1) la kurushwa kwa mkono (Hand Grenade – Defensive) lililoko mkono wa kulia na milipuko mingine iitwayo Explosive – Gel V6 iliyokamatwa katika Operesheni maalum ya kupambana na uhalifu iliyofanyika kuanzia Octoba mwaka huu mpaka Novemba mwaka huu katika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma.
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, katikati akionyesha mbolea aina Ammonium Nitrate na Potassium Nitrate zinazotumika kutengenezea milipuko mbalimbali, mbolea hizo zilipatikana katika Operesheni maalum ya kupambana na uhalifu iliyofanyika kuanzia Octoba mwaka huu mpaka Novemba mwaka huu katika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma. (Picha na Jeshi la Polisi).
Hivyo makala OPERESHENI MIKOA YA KUSINI: JESHI LA POLISI LAKAMATA SHEHENA YA SILAHA NA MILIPUKO NDANI YA MWEZI MMOJA
yaani makala yote OPERESHENI MIKOA YA KUSINI: JESHI LA POLISI LAKAMATA SHEHENA YA SILAHA NA MILIPUKO NDANI YA MWEZI MMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala OPERESHENI MIKOA YA KUSINI: JESHI LA POLISI LAKAMATA SHEHENA YA SILAHA NA MILIPUKO NDANI YA MWEZI MMOJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/operesheni-mikoa-ya-kusini-jeshi-la.html
0 Response to "OPERESHENI MIKOA YA KUSINI: JESHI LA POLISI LAKAMATA SHEHENA YA SILAHA NA MILIPUKO NDANI YA MWEZI MMOJA"
Post a Comment