Loading...

POLISI WILAYA YA TABORA INAMSAKA ALIYESABABISHA TAHURIKI KWA KUTUMA MESEJI YA UONGO KUHUSU KUTEKWA WATOTO

Loading...
POLISI WILAYA YA TABORA INAMSAKA ALIYESABABISHA TAHURIKI KWA KUTUMA MESEJI YA UONGO KUHUSU KUTEKWA WATOTO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI WILAYA YA TABORA INAMSAKA ALIYESABABISHA TAHURIKI KWA KUTUMA MESEJI YA UONGO KUHUSU KUTEKWA WATOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI WILAYA YA TABORA INAMSAKA ALIYESABABISHA TAHURIKI KWA KUTUMA MESEJI YA UONGO KUHUSU KUTEKWA WATOTO
link : POLISI WILAYA YA TABORA INAMSAKA ALIYESABABISHA TAHURIKI KWA KUTUMA MESEJI YA UONGO KUHUSU KUTEKWA WATOTO

soma pia


POLISI WILAYA YA TABORA INAMSAKA ALIYESABABISHA TAHURIKI KWA KUTUMA MESEJI YA UONGO KUHUSU KUTEKWA WATOTO

NA TIGANYA VINCENT,RS TABORA

JESHI la Polisi Wilaya ya Tabora linaendelea kumtafuta mtu aliyesambaza ujumbe wa uongo juu ya kutekwa wa wanafunzi wawili wa Shule ya Msingi ChemChem uliosababisha taharuki kwa wananchi na kupelekea kuharibu mali za Polisi.

Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Tabora (OCD) John Mfinanga wakati akitoa ufafanuzi kwa Madiwani wa Manispaa ya Tabora kwenye kikao cha robo ya kwanza.Alisema ujumbe huo ulisababisha kuwepo na uvunjifu wa amani ambao ulitokana na baadhi ya raia kuanza kuwashambulia Polisi na mgari yao na kupelekea kupasuliwa vyoo.

Mfinanga alisema hadi leo ikiwa saa 30 zimeshapita hakuna mzazi aliyejitokeza kutoa taarifa juu ya kupotelewa na mtoto jambo linaonekana lilikuwa na uongo na lenye nia ya kuleta vurugu katika jamii.“Waheshimiwa Madiwani ni mzazi gani anaweza kukaa zaidi ya masaa 24 mtoto wake amepotea hatoi taarifa…tunamtafuta aliyesambaza meseji hiyo ili hatimaye tumfikishe anapostahili kwa ajili ya kuchukuliwa hatua za kisheria” alisema.

Aliwataka Madiwani kusaidia kuwaelimisha wapiga kura wao wanapotoa taarifa ziwe za kweli ili zisisababishe taharuki na fujo katika jambo.Katika hatua nyingine Kamanda huyo wa Wilaya ya Tabora alisema Jeshi la Akiba Mgambo lipo kisheria na liko kwa ajili ya kusaidia majeshi mbalimbali yanapokuwa na uhitaji katika kutekeleza majukumu yao.



Hivyo makala POLISI WILAYA YA TABORA INAMSAKA ALIYESABABISHA TAHURIKI KWA KUTUMA MESEJI YA UONGO KUHUSU KUTEKWA WATOTO

yaani makala yote POLISI WILAYA YA TABORA INAMSAKA ALIYESABABISHA TAHURIKI KWA KUTUMA MESEJI YA UONGO KUHUSU KUTEKWA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI WILAYA YA TABORA INAMSAKA ALIYESABABISHA TAHURIKI KWA KUTUMA MESEJI YA UONGO KUHUSU KUTEKWA WATOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/polisi-wilaya-ya-tabora-inamsaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLISI WILAYA YA TABORA INAMSAKA ALIYESABABISHA TAHURIKI KWA KUTUMA MESEJI YA UONGO KUHUSU KUTEKWA WATOTO"

Post a Comment

Loading...