Loading...

Polisi Yaua Majambazi Watatu Tanga

Loading...
Polisi Yaua Majambazi Watatu Tanga - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Polisi Yaua Majambazi Watatu Tanga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Polisi Yaua Majambazi Watatu Tanga
link : Polisi Yaua Majambazi Watatu Tanga

soma pia


Polisi Yaua Majambazi Watatu Tanga

 
 
 
Polisi mkoani Tanga limewaua watu watatu wanaodaiwa kuwa majambazi .Tukio hilo limetokea leo asubuhi Jumapili Novemba 25, 2018 katika majibizano ya kurushiana risasi mtaa wa Ngwaru Kanisani kata ya Kwemkabala Muheza mjini wakitumia katika jaribio la kutaka kupora fedha

Kamanda wa polisi mkoani Tanga, Edward Bukombe amesema majambazi hao walikuwa na gari aina ya Toyota X- Trail rangi nyeusi ambapo polisi walilipiga risasi kwenye matairi na kushindwa kutembea.

Amesema majambazi hao walikuwa katika jaribio la kuvamia nyumba ya mfanyabiashara maarufu mjini Muheza, Jackon Mhufu kwa lengo la kutaka kupora fedha.

Kwa mujibu wa  mashuhuda wa tukio hilo majambazi hao walianza kurushiana risasi na askari polisi baada ya kuzidiwa walianza kukimbia huku na kule ndipo wananchi wakatoa ushirikiano na kufanikiwa kuuawa kwao.

Miili ya marehemu imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali teule ya mtakatifu Augustine Muheza kwa ajili ya taratibu nyingine ikiwemo kuwatambua majina.

Hii ni mara ya pili kwa majambazi hao kumvamia mfanyabiashara huyo kwa jaribio la kutaka kupora fedha lakini Polisi wilayani Muheza walifanikiwa kuwadhibiti.


Hivyo makala Polisi Yaua Majambazi Watatu Tanga

yaani makala yote Polisi Yaua Majambazi Watatu Tanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Polisi Yaua Majambazi Watatu Tanga mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/polisi-yaua-majambazi-watatu-tanga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Polisi Yaua Majambazi Watatu Tanga"

Post a Comment

Loading...