Loading...

PONGEZI KWA Saddy Kambona

Loading...
PONGEZI KWA Saddy Kambona - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PONGEZI KWA Saddy Kambona, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PONGEZI KWA Saddy Kambona
link : PONGEZI KWA Saddy Kambona

soma pia


PONGEZI KWA Saddy Kambona

Tunampongeza Saddy Kambona kwa kufanikiwa kumaliza masomo yake ya shahada ya Uzamili(Masters) katika fani ya Sheria aliyotunukiwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) Novemba 13, 2018. Katika Sherehe za Mahafali iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City.
  Saddy Kambona
 Mzee Hamisi Kambona, baba mzazi, akimvalisha taji mwanaye Saddy Kambona ikiwa ni ishara ya kumpongeza katika Sherehe ya Mahafali iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City. Sherehe hiyo iliandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Novemba 13, 2018.


Hivyo makala PONGEZI KWA Saddy Kambona

yaani makala yote PONGEZI KWA Saddy Kambona Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PONGEZI KWA Saddy Kambona mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/pongezi-kwa-saddy-kambona.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PONGEZI KWA Saddy Kambona"

Post a Comment

Loading...