Loading...

PROF. KAMUZORA AWATAKA WAKULIMA WA KASULU KUZALISHA KWA TIJA

Loading...
PROF. KAMUZORA AWATAKA WAKULIMA WA KASULU KUZALISHA KWA TIJA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROF. KAMUZORA AWATAKA WAKULIMA WA KASULU KUZALISHA KWA TIJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROF. KAMUZORA AWATAKA WAKULIMA WA KASULU KUZALISHA KWA TIJA
link : PROF. KAMUZORA AWATAKA WAKULIMA WA KASULU KUZALISHA KWA TIJA

soma pia


PROF. KAMUZORA AWATAKA WAKULIMA WA KASULU KUZALISHA KWA TIJA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora (wa kwanza kushoto) akiuliza jambo kwa Mkurugenzi wa Kasulu Vijijini Mhandisi Godfrey Kasekenya alipotembelea kukagua mradi wa Umwagiliaji wa mashamba ya mpunga wa Titye uliojengwa na Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara (Local Investment Climate -LIC) unaoratibiwa na Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) uliopo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoama Novemba 08, 2018.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera na Uratibu Prof.Faustin Kamuzora amewataka wakulima wa Wilaya ya Kasulu kulima kwa tija ili kuondokana na changamoto wanazokabiliana nazo ikiwa ni pamoja na ukosefu wa masoko. Ametoa kauli hiyo Novemba 08, 2018 alipofanya ziara katika maeneo ya Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara Local Investment Climate (LIC) ikiwemo Mradi wa Umwagiliaji wa Tittye Wilayani Kasulu mkoani Kigoma ili kukagua na kujiridhisha ubora na faida zitokanazo na mradi huo.

“Wakulima wa Wilaya ya Kasulu hamna budi kubadili mitazamo katika uzalishaji kwa kuanza kuweka mikakati ya kuzalisha kwa tija ili kuondokana na changamoto za kukosa masoko ya mazao ikiwemo Mpunga na mihogo hivyo ni wakati muafaka kuwatumia maafisa kilimo waliopo ili kupata mbinu mbadala za matumizi mazuri ya pembejeo za kisasa ili kuzalisha kwa tija”.Alisema Prof.Kamuzora
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe.Kanali Simon Anange akizungumza jambo wakati wa kikao cha pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora alipotembelea ofisini kwake kwa lengo la kupata taarifa za miradi inayotekelezwa chini ya uratibu wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC).

Aliongezea kuwa wakulima wanapaswa kuondokana na dhana potofu ya kilimo cha asili kinachohusisha dhana ya kulima kwa dawa za kienyeji ambazo wamekuwa wakizitumia kwa muda mrefu bila kuleta matunda wanayotarajiwa.



Hivyo makala PROF. KAMUZORA AWATAKA WAKULIMA WA KASULU KUZALISHA KWA TIJA

yaani makala yote PROF. KAMUZORA AWATAKA WAKULIMA WA KASULU KUZALISHA KWA TIJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROF. KAMUZORA AWATAKA WAKULIMA WA KASULU KUZALISHA KWA TIJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/prof-kamuzora-awataka-wakulima-wa_10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PROF. KAMUZORA AWATAKA WAKULIMA WA KASULU KUZALISHA KWA TIJA"

Post a Comment

Loading...