Loading...

RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLA KATIKA SHEREHE ZA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (S.A.W) VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR

Loading...
RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLA KATIKA SHEREHE ZA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (S.A.W) VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLA KATIKA SHEREHE ZA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (S.A.W) VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLA KATIKA SHEREHE ZA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (S.A.W) VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR
link : RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLA KATIKA SHEREHE ZA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (S.A.W) VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR

soma pia


RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLA KATIKA SHEREHE ZA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (S.A.W) VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR





RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi, alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman, katika hafla ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W ), Maisara Zanzibar.jana usiku 19-11-2018.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa jukwaa kuu wakiwa wamesimama wakati ikisomwa Qaswida ya Kumtakia Rehema Mtume (S.AW) kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya Maulid yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar jana usiku.19-11-2018.

NAIBU Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali, akizungumza na kutowa maelezo ya hafla hiyo ya Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar jana usiku,19-11-2018.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa na Wake wa Viongozi na Wananchi akihudhuria Maulid Matukufu ya kuazaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar jana usiku.19-11-2018.

WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakihudhuria hafla ya Maulid Matukufu ya Kuzaliwa Mtume Muhammad(S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya mpira vya Maisara Suleiman Zanzibar usiku tarehe 19-11-2018.

MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi akiongoza dua ya ufunguzi wa Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika viwanja vya mpira Maisara Suleiman Zanzibar, kulia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Alhajj Ali Mohamed Shein na kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.

/WANAFUNZI wa Madrassa Nouru’l Iman kutoka Karakana Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, wakisoma Qaswida wakati wa hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifakatika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar jana usiku 19-11-2018


Hivyo makala RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLA KATIKA SHEREHE ZA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (S.A.W) VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR

yaani makala yote RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLA KATIKA SHEREHE ZA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (S.A.W) VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLA KATIKA SHEREHE ZA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (S.A.W) VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/rais-dkshein-ajumuika-na-waumini-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLA KATIKA SHEREHE ZA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (S.A.W) VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...