Loading...

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI

Loading...
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI
link : RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI

soma pia

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI

1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini mbalimbali wa Kanisa Katoliki, Maaskofu pamoja na Wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi  katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na Elimu mara baada ya Misa iliyofanyika Bagamoyo Mkoani Pwani.
3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Muadhama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Polycarp Kardinali Pengo wapili kutoka kushoto waliokaa, Muadhama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nairobi John Kardinali Njue wapili kutoka kulia waliokaa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa Majimbo mbalimbali ndani  na nje ya nchi mara baada ya Misa ya Maadhimisho ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki mara baada ya Misa ya ya Maadhimisho ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
6
Baadhi ya Maaskofu mbalimbali wa Kanisa Katoliki wakiwa wanawasili kwa maandamano katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya Misa takatifu ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
9
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa pamoja na Spika Mstaafu Anne Makinda wakiwa katika Misa takatifu ya ya Jubilei ya  Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Muadhama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Polycarp Kardinali Pengo wapili kutoka kushoto waliokaa, Muadhama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nairobi John Kardinali Njue wapili kutoka kulia waliokaa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa Majimbo mbalimbali ndani  na nje ya nchi mara baada ya Misa ya Maadhimisho ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.

Hivyo makala RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI

yaani makala yote RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/rais-dkt-john-pombe-magufuli-ashiriki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI"

Post a Comment

Loading...